Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

Ni nyakati za zamani.
Kwasasa Ngorongoro inaingiliwa na watu wa Kabila nyingi kufanya shughuri za Kibinadamu kwani ina rutuba na malisho mazuri
Zamani Wamasai walitosha ndio maana walikuwepo.
Kwa sasa makabila mengi ya wafugaji wanavamia hifadhi ya Ngorongoro tena wengine ni majirani wa nchi jirani.
Uamuzi haikuwa wa kuwaondoa Wamasai pekee bali jamii zote zilizokowa zinafanya kazi za kibinadamu katika Hilo eneo.
Kama kuna eneo lingine la kutosha Kuna dhambi gani ya kuwaondoa Wamasai katika Hilo eneo?
Mbona wakati wa kuanzisha vijiji vya ujamaa watu waliondolewa katika maeneo yao na kupelekwa kwenye maeneo waliyopangiwa ?
Labda useme kama zoezi la kuwagamisha Wamasai na watu wengine lilikiuka haki za kibinadamu.
 
Unaongea tu. Wewe tukiwaindoa kule kwa mababu zako wanging'ombe tuwapeleke nachingaea ni sawa.? Maasai tumeishi hapo na ku co exist na nature for thousands of years.

Hatuli hata nyama pori kitu ambacho wengi hamjui
 
Unaongea tu. Wewe tukiwaindoa kule kwa mababu zako wanging'ombe tuwapeleke nachingaea ni sawa.? Maasai tumeishi hapo na ku co exist na nature for thousands of years.

Hatuli hata nyama pori kitu ambacho wengi hamjui
Tanga ni kati ya nchi nchi nzuri sana kwa ustawi wa jamii.
 
Kutalii ni muhimu kwa afya, inashauriwa angalau mara mbili kwa mwaka
 


Haya tusiringishane nimetua na ndege yangu binafsi nipo ngorongoro crater nacheki tako la zebra hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…