Sisi tunatajwa na Hollywood kwenye filamu za Lion King na Uhuru ametajika miaka mingi kwenye television ya Star Trek.Hivi kuna msanii yeyote aliyewahi kumtaja Uhuru Kenyatta?
Angalia view aliopata kwenye hiyo clip ya mavufuli kwenye Instagram ya sautisolSauti Sol hawahitaji marketing kutoka kwa Magufuli. Wao wanajulikana Afrika nzima.
Yeah za kikabila zinachangia.Nadhani kuwepo kwa radio station nyingi za kikabila ndio inachangia radio za kenya kukosa wasikilizaji wengi maana kila mtu anasikiliza radio ya kabila lake[emoji16][emoji16][emoji16]
Tanzania pia kuna radio station za English,
Dar sasa hivi frequency za FM radio zimejaa hawatoi tena, huwezi pata frequency kama unataka kuanzisha radio labda ununue radio fulani na wafanyakazi wake.
Actually when it comes to Hollywood they associate Swahili na Kenya. Was watching some TV series '13 reasons why' season 3, na kuna some kenyan girl hapo who speaks Swahili and eats chapati, the narratorSisi tunatajwa na Hollywood kwenye filamu za Lion King na Uhuru ametajika miaka mingi kwenye television ya Star Trek.
"there are several television stations and over 140 radio stations in the country. Most of these are online radio stations in Kenya that make use of the latest Internet technology."".. over 140 radio stations in the country"
Hio ndio gani mkuu? Ama unamaanisha The East African Newspaper???east Africa radio
Quantity vs Quality my friend...Yani nyie mnazo nyingi hovyo wakati Kenya Ina nyingi za hadhi ya juu."there are several television stations and over 140 radio stations in the country. Most of these are online radio stations in Kenya that make use of the latest Internet technology."
Tanzanian online radios zipo zaidi ya hizo mlizonazo Kenya, hata online televisions zipo nyingi zaidi yenu.
Mjinga Kama wewe huwezi kuelewa juu umetoka Nchi ya kijinga...redio za bongo haziskizwi nje ya bongo.Sasa umetype nini hapa, mbona pumba tu na kupoteza muda [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hii list hapa ina radio zaidi ya 100 tena naona hazipo zote kwenye hii list https://www.tcra.go.tz/index.php/licensing/licensed-operators/2-tcra/46-radio
Usisahau EA radio inashika hadi Kenya.
Mjinga Kama wewe huwezi kuelewa juu umetoka Nchi ya kijinga...redio za bongo haziskizwi nje ya bongo.
Quantity vs Quality my friend...Yani nyie mnazo nyingi hovyo wakati Kenya Ina nyingi za hadhi ya juu.
Sasa wacha nikuulize, je redio zenu zitasikizwa wapi nje ya Tz ukizingatia Kiswahili hakijulikani nje ya Tz? [emoji848][emoji848][emoji848] Tumia akili unapojibu hili swali usionekane mjinga hata ingawa tunajua wewe Ni mjinga. [emoji23]
Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza ππππ najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU πUnafikiri radio station za Tanzania ni hizo zenu za kikabila eeh ambazo haziwezi vuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
Hazisikilizwi according to you.
SI mnakiskiza Kiswahili Cha Kenya kupitia Citizen TV, NTV, K24, KTN, Ebru n.kBora kiswahili kinaeleweka,
Vipi hizo zenu za kikabila ambazo haziwezi vuka border zinaishia kibera tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU [emoji16]
SI mnakiskiza Kiswahili Cha Kenya kupitia Citizen TV, NTV, K24, KTN, Ebru n.k
[emoji23][emoji23][emoji23]
Juu hamna πππ potelea mbali mshenzi wewe.Wapo wengi sana,
Kukutajoa sina huo muda.
Wewe haupo kazi ama ulipata? πππNiache kuangalia super brand ITV niangalie tv zenu za kikabila ni kazi nimekosa au nn
Wewe haupo kazi ama ulipata? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulipata lini?? Mimi hukupata hapa kila siku kila saa.Ulisikia mimi ni jobless kama ww
Ulipata lini?? Mimi hukupata hapa kila siku kila saa.