Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Nadhani kuwepo kwa radio station nyingi za kikabila ndio inachangia radio za kenya kukosa wasikilizaji wengi maana kila mtu anasikiliza radio ya kabila lake[emoji16][emoji16][emoji16]
Tanzania pia kuna radio station za English,
Dar sasa hivi frequency za FM radio zimejaa hawatoi tena, huwezi pata frequency kama unataka kuanzisha radio labda ununue radio fulani na wafanyakazi wake.
Yeah za kikabila zinachangia.
 
Sisi tunatajwa na Hollywood kwenye filamu za Lion King na Uhuru ametajika miaka mingi kwenye television ya Star Trek.
Actually when it comes to Hollywood they associate Swahili na Kenya. Was watching some TV series '13 reasons why' season 3, na kuna some kenyan girl hapo who speaks Swahili and eats chapati, the narrator
 
".. over 140 radio stations in the country"
"there are several television stations and over 140 radio stations in the country. Most of these are online radio stations in Kenya that make use of the latest Internet technology."

Tanzanian online radios zipo zaidi ya hizo mlizonazo Kenya, hata online televisions zipo nyingi zaidi yenu.
 
Quantity vs Quality my friend...Yani nyie mnazo nyingi hovyo wakati Kenya Ina nyingi za hadhi ya juu.

Sasa wacha nikuulize, je redio zenu zitasikizwa wapi nje ya Tz ukizingatia Kiswahili hakijulikani nje ya Tz? 🤔🤔🤔 Tumia akili unapojibu hili swali usionekane mjinga hata ingawa tunajua wewe Ni mjinga. 😂
 
Unafikiri radio station za Tanzania ni hizo zenu za kikabila eeh ambazo haziwezi vuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
Hazisikilizwi according to you.
Mjinga Kama wewe huwezi kuelewa juu umetoka Nchi ya kijinga...redio za bongo haziskizwi nje ya bongo.
 
Bora kiswahili kinaeleweka,
Vipi hizo zenu za kikabila ambazo haziwezi vuka border zinaishia kibera tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Quantity vs Quality my friend...Yani nyie mnazo nyingi hovyo wakati Kenya Ina nyingi za hadhi ya juu.

Sasa wacha nikuulize, je redio zenu zitasikizwa wapi nje ya Tz ukizingatia Kiswahili hakijulikani nje ya Tz? [emoji848][emoji848][emoji848] Tumia akili unapojibu hili swali usionekane mjinga hata ingawa tunajua wewe Ni mjinga. [emoji23]
 
Unafikiri radio station za Tanzania ni hizo zenu za kikabila eeh ambazo haziwezi vuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
Hazisikilizwi according to you.
Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza 😂😂😂😂 najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU 😁
 
Bora kiswahili kinaeleweka,
Vipi hizo zenu za kikabila ambazo haziwezi vuka border zinaishia kibera tu [emoji23][emoji23][emoji23]
SI mnakiskiza Kiswahili Cha Kenya kupitia Citizen TV, NTV, K24, KTN, Ebru n.k
😂😂😂 joto la jiwe wanapenda kipindi Cha inspector Mwala
 
Wapo wengi sana,
Kukutajia sina huo muda maana siwafahamu wakwenu pia .
Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU [emoji16]
 
Back
Top Bottom