Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU [emoji16]
Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
 
Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
Tunafurahia kuwa na redio za lugha zote ili ukabila usiishe...Mwacha Mila mtumwa ndio Motto yetu.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
Acha zako wewe, kwa hivyo Tz hukuna densi za kitamaduni? Hizo statision za t.v na radio zina maudhui hayo hayo, kudumisha utamaduni na ndimi za jadi. Zaidi ya hiyo zinasaidia sana kwenye kuhamasisha jamii mbali mbali kule mashinani kwa lugha wanazozielewa vyema zaidi.
 
Sisi tulizipiga marufuku kutumika katika media ili kumaliza ukabila na tulifanikiwa, bado tumeweza kuwa na lugha moja ambayo kila mtanzania bila kujali kabila lake anaweza kwenda popote na kuhamasisha jamii. Kwenu huko kama hujui lugha ya kabila husika, huwezi kwenda kuhamasisha chini kabisa vijijini bila kutumia mkalimani.

Madhara ya ukabila ni makubwa kuliko faida mnayopata kutokana na kuendeleza hizo tabia zinazochochea Kuwepo kwa ukabila. Kwanini msijifunze toka Tanzania?, kumbuka Tanzania lugha zetu za makabila tunaxo, lakini tunazitumia pale tu tunapokua wote ni kabila husika.
 
Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant πŸ™‚
South Africa, Benin, Mali, Zambia wanazo Redio za jamii ina maana pia wao wakabila?
 
Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU [emoji16]
Salim kikeke wa bbc swahili humjui?
 
What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant [emoji846]
South Africa, Benin, Mali, Zambia wanazo Redio za jamii ina maana pia wao wakabila?
Acha kujiabisha wewe, watakucheka watu. Tatizo hamjatembea duniani mumejifungia hapo Kibera tu, badala ya kuuliza kabla ya kuandika unajifanya mjuaji, hivi unajua ukabila unavyoitafuna South Africa?, Nenda South Africa ukirudi utapevuka kimΓ wazo.
 
What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant
Achana nao, ni utumwa ndio maana huwa wanaona sifa kujiita majina kama Jane John na James Peter na kuita lugha za mababu zao vilugha.
 
Achana nao, ni utumwa ndi maana huwa wanaona sifa kujiita majina kama Jane John na James Peter na kuita lugha za mababu zao vilugha.
Nani kakuambia hatuzungumzi lugha za kikabila?, hivi unajisikiaje ukiwa pamoja na kundi la watu wanaozungumza lugha ya kwao wakati wewe binafsi huielewi hiyo lugha, tena wanazungumza ofisini, na katika nchi hiyo, kuna "tension" ya ukabila?, badilikeni acheni ubishi.
 
Kwanini asiwatumbue majirani zetu! Mbona mnakua na utoto. Kama ingekua Uhuru amempaisha msanii wa Tz social networks zingezama kweye povu la wakenya. Nyie jamaa mna utoto, wivu na umama.
Hivi ni nani aliyeanzisha uzi?
 
Salim kikeke wa bbc swahili humjui?
Sijamsikia...mna mmoja tu?πŸ€”πŸ€”πŸ€” Wakenya Ni wengi BBC, CNN, Bloomberg, Reuters, Al Jazeera na kadhalika afu Sasa ukija East Afrika Tena pia huko Station zetu za redio na Runinga zinaongoza...hatuna wapinzani humu.
 
Tushazoea nafikiri ndio sababu kuu ya kuitwa Failed State afu Tena tunaongoza Uchumi hapa East and Central Afrika...πŸ€”πŸ€”πŸ€” Kenya inashangaza wengi.
 
Hao wa kenya mbona hawafahamiki hata,
Yaani kwenye radio za entertainment tumewaacha mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijamsikia...mna mmoja tu?[emoji848][emoji848][emoji848] Wakenya Ni wengi BBC, CNN, Bloomberg, Reuters, Al Jazeera na kadhalika afu Sasa ukija East Afrika Tena pia huko Station zetu za redio na Runinga zinaongoza...hatuna wapinzani humu.
 
Hao wa kenya mbona hawafahamiki hata,
Yaani kwenye radio za entertainment tumewaacha mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio huwafahamu kwa kuwa hata kiingereza kinakushinda, unamfahamu mtangazaji hata mmoja wa Al Jazeera??? Wewe kolea kwa hizo redio zenu za Kishamba πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…