mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Huko mnaingia kazi 9am? Na tukiwaita wavivu masikini mnakasirika 😂😂😂 LDCUnafikiri kila mtu ni 9-5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mnaingia kazi 9am? Na tukiwaita wavivu masikini mnakasirika 😂😂😂 LDCUnafikiri kila mtu ni 9-5
Huko mnaingia kazi 9am? Na tukiwaita wavivu masikini mnakasirika [emoji23][emoji23][emoji23] LDC
Tz nafikiri ni 9am huwezi kuwa umenidanganya 😆9-5 ni msemo maarufu duniani ndio maana nikautumia kilaza wewe,
Job watu wanaingia 7:30
Tz nafikiri ni 9am huwezi kuwa umenidanganya [emoji38]
Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU [emoji16]
Tunafurahia kuwa na redio za lugha zote ili ukabila usiishe...Mwacha Mila mtumwa ndio Motto yetu.😂😂Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
Acha zako wewe, kwa hivyo Tz hukuna densi za kitamaduni? Hizo statision za t.v na radio zina maudhui hayo hayo, kudumisha utamaduni na ndimi za jadi. Zaidi ya hiyo zinasaidia sana kwenye kuhamasisha jamii mbali mbali kule mashinani kwa lugha wanazozielewa vyema zaidi.Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
Sisi tulizipiga marufuku kutumika katika media ili kumaliza ukabila na tulifanikiwa, bado tumeweza kuwa na lugha moja ambayo kila mtanzania bila kujali kabila lake anaweza kwenda popote na kuhamasisha jamii. Kwenu huko kama hujui lugha ya kabila husika, huwezi kwenda kuhamasisha chini kabisa vijijini bila kutumia mkalimani.Acha zako wewe, kwa hivyo Tz hukuna densi za kitamaduni? Hizo statision za t.v na radio zina maudhui hayo hayo, kudumisha utamaduni na ndimi za jadi. Zaidi ya hiyo zinasaidia sana kwenye kuhamasisha jamii mbali mbali kule mashinani kwa lugha wanazozielewa vyema zaidi.
What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant 🙂Hivi mnajisikiaje kuruhusu kila kabila kufungua radio station yake na kutumia lugha yake, mnategemea kumaliza ukabila kweli?
Salim kikeke wa bbc swahili humjui?Hebu nitajie wanahabari ama watangazaji tajika from Tz ambao wanajulikana nje ya Tanzagiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hamna hata mmoja ila unaweza taja POVU [emoji16]
Acha kujiabisha wewe, watakucheka watu. Tatizo hamjatembea duniani mumejifungia hapo Kibera tu, badala ya kuuliza kabla ya kuandika unajifanya mjuaji, hivi unajua ukabila unavyoitafuna South Africa?, Nenda South Africa ukirudi utapevuka kimà wazo.What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant [emoji846]
South Africa, Benin, Mali, Zambia wanazo Redio za jamii ina maana pia wao wakabila?
What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant
Achana nao, ni utumwa ndio maana huwa wanaona sifa kujiita majina kama Jane John na James Peter na kuita lugha za mababu zao vilugha.What's the big fuss with this? Ukabila huletwi na Redio! Are you this ignorant
Nani kakuambia hatuzungumzi lugha za kikabila?, hivi unajisikiaje ukiwa pamoja na kundi la watu wanaozungumza lugha ya kwao wakati wewe binafsi huielewi hiyo lugha, tena wanazungumza ofisini, na katika nchi hiyo, kuna "tension" ya ukabila?, badilikeni acheni ubishi.Achana nao, ni utumwa ndi maana huwa wanaona sifa kujiita majina kama Jane John na James Peter na kuita lugha za mababu zao vilugha.
Hivi ni nani aliyeanzisha uzi?Kwanini asiwatumbue majirani zetu! Mbona mnakua na utoto. Kama ingekua Uhuru amempaisha msanii wa Tz social networks zingezama kweye povu la wakenya. Nyie jamaa mna utoto, wivu na umama.
Hivi kwanini uzi uli anzishwa?Hivi ni nani aliyeanzisha uzi?
Sijamsikia...mna mmoja tu?🤔🤔🤔 Wakenya Ni wengi BBC, CNN, Bloomberg, Reuters, Al Jazeera na kadhalika afu Sasa ukija East Afrika Tena pia huko Station zetu za redio na Runinga zinaongoza...hatuna wapinzani humu.Salim kikeke wa bbc swahili humjui?
Tushazoea nafikiri ndio sababu kuu ya kuitwa Failed State afu Tena tunaongoza Uchumi hapa East and Central Afrika...🤔🤔🤔 Kenya inashangaza wengi.Nani kakuambia hatuzungumzi lugha za kikabila?, hivi unajisikiaje ukiwa pamoja na kundi la watu wanaozungumza lugha ya kwao wakati wewe binafsi huielewi hiyo lugha, tena wanazungumza ofisini, na katika nchi hiyo, kuna "tension" ya ukabila?, badilikeni acheni ubishi.
Sijamsikia...mna mmoja tu?[emoji848][emoji848][emoji848] Wakenya Ni wengi BBC, CNN, Bloomberg, Reuters, Al Jazeera na kadhalika afu Sasa ukija East Afrika Tena pia huko Station zetu za redio na Runinga zinaongoza...hatuna wapinzani humu.
Wewe ndio huwafahamu kwa kuwa hata kiingereza kinakushinda, unamfahamu mtangazaji hata mmoja wa Al Jazeera??? Wewe kolea kwa hizo redio zenu za Kishamba 😂😂Hao wa kenya mbona hawafahamiki hata,
Yaani kwenye radio za entertainment tumewaacha mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23]