Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Hata kuna yule msanii sijui nani vile... aliimba...

Ukinyanyuka wenzio wanakaa.. adui yako muombee njaa... atanyosha mikuu juu hata kama alikua ni shujaa...

Akupigae ngumi ya sikio na wewe mpige ya macho... akikuuliza unajisikiaje nawe muulize unaonaje...

Cc: mahondaw
 
Sasa ni nani amefatiliwa, Sauti Sol ni wakenya. Jiwe si ndio anawafagilia? Rais wenu huwa anafatiliwa akitoa kauli za kutamausha, kama za kuwaamuru mzaane na kutowafunza 'wazazi'.
Onyesha chombo media yoyote ya Tanzania inayoijadili Kenya kama hivi
 
Hii umeokota wapi, ila iwe fundisho kwa wasanii wa Kibongo, nyimbo zao nyingi hazina chochote cha maana zaidi ya tetema na nyegese, aina ya nyimbo ambazo hauwezi ukaskliza mbele ya watoto.
NI vyema kujua rais wa Tanzania huvutiwa na nyimbo za Wakenya.
Soma " comments " za wakenya wenzako wakiwatukana wasanii wenu hadharani kwamba wajifunze kwa watanzania "contents" za nyimbo zao, badala ya kuimba " lamba nyonyo".
 
Tafuta hizi redio stations Kameme, inooro gukena, na coro utasikia nyimbo za kumtetea "mutu yetu siyo mwisi" [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ni mwenyeji hapa Kenya. Utakuwa umeishi zaidi ya miaka sita huku
 
Kabla ya kutaja Saut Solo alikua ametoka kucheza na Harmonize wimbo wa (Magufuli)na kumshika mkono. Hao Sauti Sol hata kuwajua, hawajui vizuri. Mimi ndio kwanza ninawasikia toka kwa Magufuli. Please tell me more about Sauti Sol. Wamshukuru sana Magufuli kwa kuwafanyia" free marketing"
Sauti Sol hawahitaji marketing kutoka kwa Magufuli. Wao wanajulikana Afrika nzima.
 
Katika wimbo unaoonesha social differences kati ya Tanzania na Kenya pia ni ule wa Leka Dutigite, comments nyingi za wakenya zinawahasa wasanii wao nao wafanye collabo kwa pamoja, wengine wanaapa Kenya haitokaa itokee wasanii wao wafanye collabo wawe kitu kimoja

Nashangaa pia kuona comments za wakenya na wengine twitter wanashangaa Harmonise kumtungia wimbo JPM na kusema Rais anaongoza Tanzania kama Mobutu

Konde Boy ni kutoka kabila la Wamakonde huko Kusini huku JPM ni Mzinza huko kanda ya Ziwa, wao wakenya msanii hawezi kumuimbia kiongozi asie wa kabila lake kabisa, wanaoana haya ni maajabu, mna cha kujifunza.
 
Mbona sioni za kenya hapa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kenya tuna stesheni zaidi ya 300 wakati nyinyi huko hazifiki hata 50!

Alafu si unajua kama kawa sisi tunajua kutengeneza hela!

“Prior to 2016, Kenya’s largest advertising market was radio. Considering its small economy, Kenya has the largest radio advertising market in the Middle East and Africa region and the 14th-largest in the world. By 2021, it will generate more radio advertising revenue than Italy, a country with a bigger population and an economy more than 20 times larger,”
 
300 gani hizo mbona hazifahamiki hata,
Au ndio hizo zinazotumia kilugha kwa hiyo haziwezi kuvuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya tuna stesheni zaidi ya 300 wakati nyinyi huko hazifiki hata 50!

Alafu si unajua kama kawa sisi tunajua kutengeneza hela!

“Prior to 2016, Kenya’s largest advertising market was radio. Considering its small economy, Kenya has the largest radio advertising market in the Middle East and Africa region and the 14th-largest in the world. By 2021, it will generate more radio advertising revenue than Italy, a country with a bigger population and an economy more than 20 times larger,”
 
Kwenye hii list pekee naona kuna radio 123 nakushangaa unavyo sema radio hazifiki 50 [emoji23][emoji23][emoji23],
Tena naona hawajaweka zote.

Kenya tuna stesheni zaidi ya 300 wakati nyinyi huko hazifiki hata 50!

Alafu si unajua kama kawa sisi tunajua kutengeneza hela!

“Prior to 2016, Kenya’s largest advertising market was radio. Considering its small economy, Kenya has the largest radio advertising market in the Middle East and Africa region and the 14th-largest in the world. By 2021, it will generate more radio advertising revenue than Italy, a country with a bigger population and an economy more than 20 times larger,”
 
Kenya tuna stesheni zaidi ya 300 wakati nyinyi huko hazifiki hata 50!

Alafu si unajua kama kawa sisi tunajua kutengeneza hela!

“Prior to 2016, Kenya’s largest advertising market was radio. Considering its small economy, Kenya has the largest radio advertising market in the Middle East and Africa region and the 14th-largest in the world. By 2021, it will generate more radio advertising revenue than Italy, a country with a bigger population and an economy more than 20 times larger,”
Tanzanian 125 radio stations

Kenya 118 radio stations
 
Bahati mbaya Kibera hakuna TV, ungeweza kugundua kwamba, Ligi zote za mpira wa miguu hapa East Africa huonyeshwa na Azam media house, hakuna media house yoyote hapa EA inaweza jaribu kujilinganisha na AZAM.
Na ile ya akina messi
 
Bahati mbaya Kibera hakuna TV, ungeweza kugundua kwamba, Ligi zote za mpira wa miguu hapa East Africa huonyeshwa na Azam media house, hakuna media house yoyote hapa EA inaweza jaribu kujilinganisha na AZAM.
Azam kumbe ni station? Wanahabari wake mashuhuri Ni kina Nani?
 
Back
Top Bottom