Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela mpesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua
Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
Nchi inapata fedha kwa njia kuu 2.Hizi habari zenu zakukurupuka sijui mnazitoa wapi?😁😁😁
Toa pesa ununue foreign currencyHaina mantiki kutoa fedha ukahifadhi ndani then uibiwe ,sijaona logic labda tuhifadhi kwa ajili ya D9 tukipigwa curfew tuwe na akiba ndani ya kuagiza boda akukuletee mazagazaga na kwa ajili wakizima internet ATMs hazifanyi kazi(labda kwa hapo)
Tunaita capital flight kama unahiyo hela itoe nje ya nchiBilioni 100 unaweza ukaiweka wapi
Toa pesa zako nunua foreign currency, kama una account nje ya nchi hamisha ukoWengine tuna pesa nyingi hazitoshi mfukoni au kwenye wallet
Sio pesa zenu za kuweka mfukoni wa shati