Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
ANA MATATIZO ya akili huyu
Kiongozi, mpunguzieni mtoamada ukali wa maneno! Wajua hata mie hii post nimeichukulia kama wengi mlivyoiona.
Bt nilichokigundua ni ugeni alionao! Kwamba habari ipi iwe wapi, na yepi ya kuandika.
Huyu ni wakumpa maelekezo tu!
Ofcoz anaonekana akimahirika atakua mletamada mzuri.