Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

KUKU_UFUGAJI

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
857
Reaction score
1,727
Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume.

Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke.

Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu wanawaza na kuja navyo kwenye jamii ni vitu cya hovyo mnoo.
Ni kama wana haribu jamii badala ya kutengeneza jamii iliyo bora na kuelimika.

Tofauti Nyingine ongezea kwenye comment.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…