Tofauti kati ya neno 'niko' na 'nipo' katika Kiswahili

mfuaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
632
Reaction score
1,104
Kuna tofauti iliyopo kati ya neno Niko na nipo japokuwa hatuizingatii sana tunapoandia au kuongea.

Niko Inarejelea sehemu kwa mfano sasa hivi niko chumbani najamiiana na mke wangu.

Nipo Inaonesha hali ya kuwepo (kuwepo kwa kitu au mtu sehemu fulani) kwa mfano,
Mwalimu: Mbooyapunda!
Mbooyapunda: Nipo mwalimu!

Tukithamini na kikienzi kiswahili ndugu zangu watanzania.

Monetary doctor
Dr am 4 real PhD
Red black
 
Sikusoma kiswahili katika level ya juu ila kwa uelewa wangu ni kwamba ukitaka kuelewa Hapo na huko basi nipo inaendana na hapo wakati huko inaenda na niko.
 
Back
Top Bottom