Sikusoma kiswahili katika level ya juu ila kwa uelewa wangu ni kwamba ukitaka kuelewa Hapo na huko basi nipo inaendana na hapo wakati huko inaenda na niko.Kuna tofauti iliyopo kati ya neno Niko na nipo japokuwa hatuizingatii sana tunapoandia au kuongea.
Niko Inarejelea sehemu kwa mfano sasa hivi niko chumbani najamiiana na mke wangu.
Nipo Inaonesha hali ya kuwepo (kuwepo kwa kitu au mtu sehemu fulani) kwa mfano,
Mwalimu: Mbooyapunda!
Mbooyapunda: Nipo mwalimu!
Tukithamini na kikienzi kiswahili ndugu zangu watanzania.
Monetary doctor
Dr am 4 real PhD
Red black
BICHWA KOMWE - unaikumbuka hii?niko kichakani nashenyentwa masega
Kazi gani?FANYENI KAZI NYIE.
Sawa.Ndiyo maana yake. Pigia mstari.