Tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa

Tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa

Kuna timu imetua manungu Mkoani Morogoro na trekta la miwa wakati kuna timu nyingine imetua Uturuki muda huu
 
Mzee Mpili, Akina Haris, Akina kiwete na wengine wengi tu. Wameing'ang'ania yanga hawaiendelezi na wanataka timu zingine ziwe kama wao. Ndani ya Simba wazaramo na wakwere wamefumbwa midomo.
Em twende taratibu mkuu.

Haris,Mzee Kikwete na Mpili wana hold positions gani katika uongozi wa Yanga?
 
Em twende taratibu mkuu.

Haris,Mzee Kikwete na Mpili wana hold positions gani katika uongozi wa Yanga?

Mzee Mpili ni moja ya wajumbe wa kamati ya ufundi.
Haris ndiye msajili wa yanga
Kikwete ndiye mlezi wa Yanga.
 
Back
Top Bottom