Tofauti Kati ya Watawala na Viongozi: Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?"

Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?"

  • A. Ina Viongozi

    Votes: 1 7.1%
  • B. Ina Watawala

    Votes: 12 85.7%
  • C. Sifahamu

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Kwa hiyo tabia ya watawala wetu ni zao jamii yoote.
 
Kwa hiyo tabia ya watawala wetu ni zao jamii yoote.
Wewe na mimi, hatuko tofauti sana na watu kama Raisi Kikwete, Magufuli, Mkapa na Nyerere. Unaweza kukataa sasa hivi kwasababu tu hauko madarakani, ila huo ndiyo ukweli.

Mantiki rahisi ni hii, kama Kikwete, Magufuli, Mkapa na Nyerere wangekuwa na tabia za tofauti na jamii wanayoitawala basi wasingeweza kukusanya na kutegengeneza magenge makubwa ya mashabiki ambao walikuwa radhi hata kuua ili kuwafurahisha wenyewe.

Raia hujiona wenyewe ndani ya kiongozi, ndiyo maana atampenda huyu na kumchukia yule. Hata kwenye dini iko hivo, wafuasi wa dini fulani hufuata na kuakisi tabia za miungu wa dini zao. Mahusiano baina ya raia na mtawala hayana utofauti sana na yale baina ya mungu na mwanadamu. Hivi ndivyo dunia ilivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…