Tofauti kati ya Zari na Mange kimambi

Yani eti mtu unamchukia kwasababu ya mafanikio yake halaf maskin ya mungu hajawah hata kukutana na wewe.

Maisha kayakosea mwenyewe, chuki azipeleke kwa waliofanikiwa kihalali, huyu mwanamke stress za maisha zinamsumbua tu, hana lolote huko alipo zaidi ya kutegemea pesa za Child support za mtalaka wake,huyo angoje tu azeeke akalelewe kwenye nyumba za kulelea wazee
 
Duuuh Ndo maisha yetu sasa tutafanyaje .......
Kila siku lazma kijana wa kibongo atembelee page ya gossip...
 
Yaani she has nothing than popping in other people's life.... Looser... Priceless bitch
 
Sasa kwa akili yako mange atakuwa mshauri mzuri wa mahusiano. Wakati ndoa yake imemshinda?
Kwani anashauri au huwa anapambana nao kwa sababu azijuae yeye?

Kumbe mnapotuletea upuuzi wa huko mnaleta km ushauri!!?Mungu hurumia hawa wavulana!!
 
Yaani she has nothing than popping in other people's life.... Looser... Priceless bitch

Ni looser mwenye wivu kwa mafanikio ya wenzake, yaani mimi hadi hao wanaomshabikia huwa nawashangaa sana kwa kweli kwa upupu anaouandika hasa wa kufuatilia maisha ya wengine tena personal kabisa
 
Una akaunti 39 insta ila bank huna hata 1, nenda kachukue mzee wanatoa kam akaunti za insta tuu.
 
Mange yupo frustreated na maisha....amechanganyikiwa....ingawa anawakosha baadhi kwa hoja za kuwakandi ccm...lakimi huyu dada sio mzima
 
Anategemea child support bila kusahau kudanga. Kibabu cha kizubgu kile pia kinamuweka mjini, kajiombeleza simu kwa watu akijifanya anatania kumbe anamaanisha na alijua lazma kuna zwazwa kitajitokeza kumuhonga.
She is bitter and lonely ass. Chezea kukosa marafiki hapa duniani, lazma u hate kila mtu
 
Nafanya mpango nikuadd kwny group letu la magreat thinkers mana naona celebrity forum kila siku ni mange yaan upuuz mtupu

Gonga like apa[emoji106]
 
Huo ndo uzalendo hata wewe ukipata nafasi hiyo mwili uwe uingereza akili yako yoote iwe ktk nchi yako ya asili mother land kama myahudi hongera yake mange
 
Hata hiki ulichoandika ni umbeya...nani kakupa kibali kumzungumzia mange we mwanae kama si umbeya ni nn[emoji57]
 
[emoji23] [emoji23] mtabwabwaja humu weee lkn wote hao tunaowazungumzia wametuacha mbali sana kifikra ndo maana ndo maana wako duniani wanafanya yao sisi tunajiliwaza JF humu cha msingi tupambane na hali zetu
 
Yule dada ana wivu mno masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…