Tofauti na Iran na vikundi vyake, Israel hapigani vita bali analenga viongozi na mifumo yao

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake.

Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu wa usalama wa taifa, wasemaji, wapangaji wa mbinu, n.k.

Targets nyingine huwa ni majengo yanayotumika kuhifadhi silaha, viwanda vya silaha, ahandaki, na byenzo nyingine. hapa Israel huwa wanatoa onyo la mapema kabisa watu waondoke, ndio maana ni rahisi kuona watu walivyotegesha kamera wakisubiria tukio huku baadhi ya vyombo vikifanya tukio lionekane kama hakukuwa na notice.

Mtu anaposema Israel inapigana vita siwezi kumuelewa, Israel inaweza kuingia hadi katikati ya jiji la Iran wakafanya wanachotaka lakini wao huwa ni targets maalum japo katika kutekeza hizi operation lazima kuwepo na wahanga lakini target huwa zinapigwa.

tofauti na Iran na vibaraka wake kina Hamas, Hezbollah, Houthi, na bikundi vingine kwao ushindi ni kuua mtu yeyote wa Israel ikiwemo kurushamakombora yafike popopte Israel bila target, kujitoa muhanga kwenye vituo vya mabasi, kufyatua risasi hovyo popote wanapopata chance,

Ushindi wao ni pamoja na kuua hata watanzania na watu wa mataifa mengine kikatili wanapoivamia Israel ikiwemo tulivyojionea namna walivyomuua kikatili mtanzania mwenzetu ambae hadi sasa wamekataa kuuachia mwili wake uje kuzikwa hapa Tanzania.

Wao hawawezi kuingiza ndege Israel pamoja na kujisifu wana majeshi hatari ya air force, huishia kurusha makombora kwa mbali ambayo hata hivyo zaidi ya asilimia 80 yanaweza kuzuiwa na mitambo ya kisasa ya Israel ya Iron Dome, Mengine yakuruhusiwa kutua sehemu zisizo na madhara mfano sehemu zisizo na watu,

Kuna makombora huwa yanatua Israel hata kwenye jiji la Yel Aviv lakini ni machache sana, na huwa yanatua popote bila targets lakini muda huo watu wengi huwa wameingia kwenye vyumba vya kujikinga na mabomu ndio maana vifo na majeruhi huwa vichache sana compared na matarajio ya mashambulizi.

Israel muda wowote anaweza kuingia Qatar, Yemen, Iran, Syria, Iraq, lakini huwa ni kwa tarhets, uwezo wa kuharibu miundo mbinu muhimu anao lakini yeye anafocuss zaidi na targets, Ni kosa kusea Israel anapiga vita.

Israel ni kama bouncer anaemzuia mlevi anaetaka ugomvi. Mlevi anarusha ngumi kama mtu aliyekula pilipili mbichi, hazina target, anatupa viatu, anavuta meza, anajaribu kung’ata. na hata pale anapootea ngumi chache zinazotua kifuani huku akijisifu ameshinda, Israel anamtuliza kwa makofi, harushi ngumi, akifanya hivyo ataua.
 
Mafanikio ni yapi mkuu ikiwa mpaka dk hii bado wanapigana na hamas kweli Israel ana nguvu sipingi lakini mbona ameshindwa kukamaliza hako kakikundi?

Labda tu yeye ni bora kwa vita vya angani ila vita ya ardhini ni changamoto sana kwake. Na ili awamalize hamas ni lazima awaangamize raia wote wa gaza tofauti na hapo bado hamasi wataendelea kuzaliwa kila siku tu.
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake.
Wewe ndiyo tunakushangaa unaposema uongo kuwa Israel haipigani vita wakati wote tuliona Israel iliingiza vikosi vyake huko Lebanon kwa ajili ya kuwasambaratisha magaidi wa Hezbollah waliokuwa wamejichimbia kusini mwa Lebanon.

Tunajua ili iitwe vita lazima kuwe na kupigana na kujihami ( Defensive na Offensive) nimekuwekea hapa IDF wakifanya mashambulizi na askari wa miguu wakiwa ndani kabisa ya Lebanon.

View: https://x.com/idf/status/1844410639319724327?s=61

View: https://x.com/israel_alma_org/status/1980879938526859542?s=61
Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu wa usalama wa taifa, wasemaji, wapangaji wa mbinu, n.k.
Hiyo yote ni mikakati ya Jeshi lolote makini lazima lifanye hivyo ili kuweza kufanikiwa kumshinda adui yake.

Mbinu hizo karibu maadui wote wa Israel hawawezi kuzifanya dhidi ya Israel kutokana na uwezo wa Israel katika kujihami (Defensive) Maadui wa Israel wa nashindwa kila mara wanapoanzisha vita na Israel kwa sababu wao hushambulia tu na hawana uwezo wa kujilinda. Hapo ndipo Israel inawapiga bao!!!

Mfano mzuri kwa Iran, Lebanon,Yemen na Magaidi wa Hamas wote walikuwa na uwezo wa kushambulia tu na hawakuwa na uwezo wa kujilinda au kujihami ndiyo maana ulikuwa unasikia viongozi wao, Makamanda wao waandamizi wanaangamizwa kwa urahisi sana kwa sababu hawana uwezo wa kujihami na mashambulizi ya adui.

Hata Russia naye kinachomsumbua huko Ukraine ni hicho hicho wanauwezo wa kushambulia lakini wanakwamishwa na wanajeshi wa Ukraine ambao wanatumia sana Defenseve Machanism ndiyo maana Russia ameshindwa huko Ukraine!!!
Targets nyingine huwa ni majengo yanayotumika kuhifadhi silaha, viwanda vya silaha, ahandaki, na byenzo nyingine. hapa Israel huwa wanatoa onyo la mapema kabisa watu waondoke, ndio maana ni rahisi kuona watu walivyotegesha kamera wakisubiria tukio huku baadhi ya vyombo vikifanya tukio lionekane kama hakukuwa na notice.
Ndiyo maana Jeshi la Israel linaitwa “ The Most Moral Military Army in the Planet” na hakuna jeshi jingine duniani linaloweza wakati wa vita kutoa taarifa ya mapema.
Mtu anaposema Israel inapigana vita siwezi kumuelewa, Israel inaweza kuingia hadi katikati ya jiji la Iran wakafanya wanachotaka lakini wao huwa ni targets maalum japo katika kutekeza hizi operation lazima kuwepo na wahanga lakini target huwa zinapigwa.
Bila shaka yoyote wewe huna uzoefu wowote wa vita ndiyo maana umeendelea kusema Israel haipigani vita kwani huko Gaza na huko Lebanon,Iran walikuwa wanafanya nini? Walikuwa wanapigana vita!!
Israel muda wowote anaweza kuingia Qatar, Yemen, Iran, Syria, Iraq, lakini huwa ni kwa tarhets, uwezo wa kuharibu miundo mbinu muhimu anao lakini yeye anafocuss zaidi na targets, Ni kosa kusea Israel anapiga vita.
Kuna uwezekano mkubwa tunatofautiana namna ya uelewa kuhusu vita!!
 
Mafanikio ni yapi mkuu ikiwa mpaka dk hii bado wanapigana na hamas kweli Israel ana nguvu sipingi lakini mbona ameshindwa kukamaliza hako kakikundi?

Labda tu yeye ni bora kwa vita vya angani ila vita ya ardhini ni changamoto sana kwake. Na ili awamalize hamas ni lazima awaangamize raia wote wa gaza tofauti na hapo bado hamasi wataendelea kuzaliwa kila siku tu.
Nakushangaa kushindwa kujua mafanikio ya Israel katika vita vyake na magaidi wa Hamas!!
Kwanza kabisa Imeweza kuwafyekelea mbali viongozi wote wa Hamas akiwemo Ismail Hanniyeh na Yahya Sinwar na makamanda waandamizi wa Magaidi hao.

Pili Israel wameweza kuwatia adabu magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa sana na magaidi wenzao huko Mashariki ya Kati na wakaweza pia kuwaua Viongozi wakuu wote wa Hezbollah akiwemo Gaidi Hassan Nasrallah na Chain of Command yake yote hata sasa hivi Hezbollah hawafurukuti tena wametulizwa.

Tatu wameweza kusababisha utawala wa Dikteta Bashar Al Assad kupinduliwa huko Syria utawala huo ulikuwa ukiunga mkono na kuwapa silaha magaidi wa wa Hezbollah na kuishambulia Israel kutokea Syria sasa hivi Syria wametulizwa.

Nne kulikuwa na magaidi waliokuwa wanaishambulia Israel kutokea Iraq nao wametulizwa hawana uwezo tena wa kurusha chochote nao wametulizwa.

Tano wahouth huko Yemen karibu baraza lote la mawaziri 12 akiwemo Mkuu wa majeshi wa nchi hiyo wote walifyekelewa mbali .

Sita Baba wa Ugaidi huko Mashariki ya Kati naye alipigwa Makamanda wake wakuu zaidi ya 30 akiwemo Mkuu wa majeshi pna wanasayansi wa nuclear 60+ walifyekelewa mbali.

Saba Magaidi wa Hamas baada ya Oct 07,2023 waliteka watu 251 lakini baada ya Israel kuwapelekea moto walikubali kuwaachia mateka wote walio hai na cha ajabu wamebaki na maiti za watu 13 ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel Majeshi ya Israel yanaendelea a mbinyo mpaka hata hizo maiti wazirejeshe je hayo yote si mafanikio?
 
Hamas sio Kakikundi, ni Kundi kubwa lenye watu wengi sana na wana control eneo lenye watu zaidi ya milioni 2

Watoto tangu wakiwa wadogo wapo kwenye mfumo wa Hamas, mashuleni wanafundishwa ni jambo la heshima kubwa kuua Mu Israel yeyote, wanaaminishwa kujitoa muhanga ni jambo lenye baraka.

Hamas sio kikundi cha ngoma
 
Nakushangaa kushindwa kujua mafanikio ya Israel katika vita vyake na magaidi wa Hamas!!
Kwanza kabisa Imeweza kuwafyekelea mbali viongozi wote wa Hamas akiwemo Ismail Hanniyeh na Yahya Sinwar na makamanda waandamizi wa Magaidi hao.

Pili Israel wameweza kuwatia adabu magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa sana na magaidi wenzao huko Mashariki ya Kati na wakaweza pia kuwaua Viongozi wakuu wote wa Hezbollah akiwemo Gaidi Hassan Nasrallah na Chain of Command yake yote hata sasa hivi Hezbollah hawafurukuti tena wametulizwa.

Tatu wameweza kusababisha utawala wa Dikteta Bashar Al Assad kupinduliwa huko Syria utawala huo ulikuwa ukiunga mkono na kuwapa silaha magaidi wa wa Hezbollah na kuishambulia Israel kutokea Syria sasa hivi Syria wametulizwa.

Nne kulikuwa na magaidi waliokuwa wanaishambulia Israel kutokea Iraq nao wametulizwa hawana uwezo tena wa kurusha chochote nao wametulizwa.

Tano wahouth huko Yemen karibu baraza lote la mawaziri 12 akiwemo Mkuu wa majeshi wa nchi hiyo wote walifyekelewa mbali .

Sita Baba wa Ugaidi huko Mashariki ya Kati naye alipigwa Makamanda wake wakuu zaidi ya 30 akiwemo Mkuu wa majeshi pna wanasayansi wa nuclear 60+ walifyekelewa mbali.

Saba Magaidi wa Hamas baada ya Oct 07,2023 waliteka watu 251 lakini baada ya Israel kuwapelekea moto walikubali kuwaachia mateka wote walio hai na cha ajabu wamebaki na maiti za watu 13 ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel Majeshi ya Israel yanaendelea a mbinyo mpaka hata hizo maiti wazirejeshe je hayo yote si mafanikio?
umemaliza mkuu,, nondo makini sana hizo za kuwekewa lamination.

Israel aliwahi kupigana vita kilichotokea alipiga show ya siku 6 tu vita ikaisha,

Israel kwa sasa hapigani vita kama wengi wanavyodhani, akiamua kupigana serious ni siku 4 tu watu wataomba yaishe,

Israel inaingia na kutoka popote mashariki ya kati ila inaenda kwa targets maalum tu, wanajilinda hawapigani vita.
 
Mafanikio ni yapi mkuu ikiwa mpaka dk hii bado wanapigana na hamas kweli Israel ana nguvu sipingi lakini mbona ameshindwa kukamaliza hako kakikundi?

Labda tu yeye ni bora kwa vita vya angani ila vita ya ardhini ni changamoto sana kwake. Na ili awamalize hamas ni lazima awaangamize raia wote wa gaza tofauti na hapo bado hamasi wataendelea kuzaliwa kila siku tu.
Kobazi watapinga.
 
Netanyau ni mpuuzi mkubwa kaharibu kazi nzuri waliyotaka kufanya kina Yitzhak Rabin ; upuuzi anaofanya kwa hizo war crimes za waziwazi inapelekea watu kuondoa hata sympathy waliyopata toka kibano cha Hitler as well as kurudisha antisemitism; Jamaa ni muongo aliyekuwa anataka support toka kitambo ya kusema Iran karibia anapata Nuclear weaponn ili tu aweza kuwabomoa (Gaidi mkubwa katika dunia ya leo ni huyu Bwana)....

Kwa Hamas walichokipanda Oct 07,2023 ndicho wanavuna sasa Netanyahu yuko sahihi kabisa kupiga mbwa hao!!
 
Unaua sisimizi kwa kutumia sumu inayoua mpaka mimea na chakula chako ? Ni kama unaondoa Al Qaeda wanakuja ISIS tena kwa alichofanya Israel vitatokea vikundi vingi zaidi; Mapambano na hawa watu wanaoweza kufanya brainwash ili kupata wafuasi sio kwa kutumia mabavu na kufanya kile ambacho hao watu wanawaambia wafuasi wao (tunaonewa) bali ni kuonyesha ubaya wao hata wao wenyewe kuwakataa from within...

Terrorist acts in (Cells) hakuna kichwa wala mkia ni ideology hata mwanao hapo anaweza akawa converted so long as anakuwa sympathizer na kinachofanyika na hana jinsi wala sehemu ya kupambana....
 
Naomba unite mawazo yako wewe kama ungekuwa wewe ndiyo Benja baada ya Oct 07,2023 ungefanya nini?
 
Unadhani huu Ugaidi umeanza jana ? na huwa watu wanafanyaje ? Kwa kutumia chakula kama silaha na ku-antagonize na kikiuka sheria za kivita kumeleta tija ?

Osama alivyopiga Ubalozi wa Tanzania na Kenya (USA walikwenda na kuua na kupiga mabomu Afghanistan) au walionyesha ulimwengu anachofanya Obama sio ?

Iran kina Ayatollah watu Gen Z walishaona hawa watu hawana maana na walianza kuwapinga ndani kwa ndani unadhani sasa hivi baada ya akili mgando za Netanyau na Trump kupiga mabomu hao Gen Z wamerudi upande gani ? Na kumbuka hao Iran walikaa mezani na Obama ili kaucha mpango wa Nuclear jambo ambalo Trump alikataa alivyoingia madarakani term ya kwanza alafu sasa hivi anarudi kulekule (unategemea mtu kama huyu ataaminika)?
 
Nilitarajia utavaa uhu sika wa Benja cha kushangaza umeanza kulalamika na kubwabwaja ovyo kama matoto ya Nguruwe!!!

Narudia tena waziri Mkuu wa Israel yuko sahihi kabisa kuwapiga na kuwagaragaza magaidi hao!! Huwezi kufanya majadiliano na magaidi kwa Amani maana lengo kuu la magaidi kote ulimwenguni ni Kuteka nyara watu na kuwafanya kuwa kama Kinga na kuua hayo ndiyo malengo makuu ya magaidi.

Kwa waziri Mkuu Benja yeye anajua sana namna ya kuongea na magaidi hao na wao wanajua vizuri lugha yake na ndiyo maana alipoamua kuwapelekea moto huko Gaza ilibidi wateme ndoano wao wenyewe na kuwaachia mateka wote walio hai na wao kuendelea kung’ang’ania maiti ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel.

Pamoja na wao kung’ang’ania maiti hizo ambazo wao wenyewe waliwaua Oct 07,2023 Israel inaendelea kutoa mbinyo kwa magaidi hao kuzirejesha maiti za wahanga hao ili zikazikwe mpaka sasa maiti hizo bado wanazikatalia ndipo ujue magaidi ni magaidi tu dawa yao anyoijua vizuri ni Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ambaye yeye haangalia makunyanzi hasa linanapokuja suala la kuwakung’unta magaidi wauaji kama Hamas,Hezbollah,Houth, Islamic Jihad na wengine wengi!!!!
 
Back
Top Bottom