Wewe ndiyo tunakushangaa unaposema uongo kuwa Israel haipigani vita wakati wote tuliona Israel iliingiza vikosi vyake huko Lebanon kwa ajili ya kuwasambaratisha magaidi wa Hezbollah waliokuwa wamejichimbia kusini mwa Lebanon.Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake.
Hiyo yote ni mikakati ya Jeshi lolote makini lazima lifanye hivyo ili kuweza kufanikiwa kumshinda adui yake.Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu wa usalama wa taifa, wasemaji, wapangaji wa mbinu, n.k.
Ndiyo maana Jeshi la Israel linaitwa “ The Most Moral Military Army in the Planet” na hakuna jeshi jingine duniani linaloweza wakati wa vita kutoa taarifa ya mapema.Targets nyingine huwa ni majengo yanayotumika kuhifadhi silaha, viwanda vya silaha, ahandaki, na byenzo nyingine. hapa Israel huwa wanatoa onyo la mapema kabisa watu waondoke, ndio maana ni rahisi kuona watu walivyotegesha kamera wakisubiria tukio huku baadhi ya vyombo vikifanya tukio lionekane kama hakukuwa na notice.
Bila shaka yoyote wewe huna uzoefu wowote wa vita ndiyo maana umeendelea kusema Israel haipigani vita kwani huko Gaza na huko Lebanon,Iran walikuwa wanafanya nini? Walikuwa wanapigana vita!!Mtu anaposema Israel inapigana vita siwezi kumuelewa, Israel inaweza kuingia hadi katikati ya jiji la Iran wakafanya wanachotaka lakini wao huwa ni targets maalum japo katika kutekeza hizi operation lazima kuwepo na wahanga lakini target huwa zinapigwa.
Kuna uwezekano mkubwa tunatofautiana namna ya uelewa kuhusu vita!!Israel muda wowote anaweza kuingia Qatar, Yemen, Iran, Syria, Iraq, lakini huwa ni kwa tarhets, uwezo wa kuharibu miundo mbinu muhimu anao lakini yeye anafocuss zaidi na targets, Ni kosa kusea Israel anapiga vita.
Nakushangaa kushindwa kujua mafanikio ya Israel katika vita vyake na magaidi wa Hamas!!Mafanikio ni yapi mkuu ikiwa mpaka dk hii bado wanapigana na hamas kweli Israel ana nguvu sipingi lakini mbona ameshindwa kukamaliza hako kakikundi?
Labda tu yeye ni bora kwa vita vya angani ila vita ya ardhini ni changamoto sana kwake. Na ili awamalize hamas ni lazima awaangamize raia wote wa gaza tofauti na hapo bado hamasi wataendelea kuzaliwa kila siku tu.
Hamas sio Kakikundi, ni Kundi kubwa lenye watu wengi sana na wana control eneo lenye watu zaidi ya milioni 2Mafanikio ni yapi mkuu ikiwa mpaka dk hii bado wanapigana na hamas kweli Israel ana nguvu sipingi lakini mbona ameshindwa kukamaliza hako kakikundi?
Labda tu yeye ni bora kwa vita vya angani ila vita ya ardhini ni changamoto sana kwake. Na ili awamalize hamas ni lazima awaangamize raia wote wa gaza tofauti na hapo bado hamasi wataendelea kuzaliwa kila siku tu.
umemaliza mkuu,, nondo makini sana hizo za kuwekewa lamination.Nakushangaa kushindwa kujua mafanikio ya Israel katika vita vyake na magaidi wa Hamas!!
Kwanza kabisa Imeweza kuwafyekelea mbali viongozi wote wa Hamas akiwemo Ismail Hanniyeh na Yahya Sinwar na makamanda waandamizi wa Magaidi hao.
Pili Israel wameweza kuwatia adabu magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa sana na magaidi wenzao huko Mashariki ya Kati na wakaweza pia kuwaua Viongozi wakuu wote wa Hezbollah akiwemo Gaidi Hassan Nasrallah na Chain of Command yake yote hata sasa hivi Hezbollah hawafurukuti tena wametulizwa.
Tatu wameweza kusababisha utawala wa Dikteta Bashar Al Assad kupinduliwa huko Syria utawala huo ulikuwa ukiunga mkono na kuwapa silaha magaidi wa wa Hezbollah na kuishambulia Israel kutokea Syria sasa hivi Syria wametulizwa.
Nne kulikuwa na magaidi waliokuwa wanaishambulia Israel kutokea Iraq nao wametulizwa hawana uwezo tena wa kurusha chochote nao wametulizwa.
Tano wahouth huko Yemen karibu baraza lote la mawaziri 12 akiwemo Mkuu wa majeshi wa nchi hiyo wote walifyekelewa mbali .
Sita Baba wa Ugaidi huko Mashariki ya Kati naye alipigwa Makamanda wake wakuu zaidi ya 30 akiwemo Mkuu wa majeshi pna wanasayansi wa nuclear 60+ walifyekelewa mbali.
Saba Magaidi wa Hamas baada ya Oct 07,2023 waliteka watu 251 lakini baada ya Israel kuwapelekea moto walikubali kuwaachia mateka wote walio hai na cha ajabu wamebaki na maiti za watu 13 ikiwemo ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel Majeshi ya Israel yanaendelea a mbinyo mpaka hata hizo maiti wazirejeshe je hayo yote si mafanikio?
Kobazi watapinga.Mafanikio ni yapi mkuu ikiwa mpaka dk hii bado wanapigana na hamas kweli Israel ana nguvu sipingi lakini mbona ameshindwa kukamaliza hako kakikundi?
Labda tu yeye ni bora kwa vita vya angani ila vita ya ardhini ni changamoto sana kwake. Na ili awamalize hamas ni lazima awaangamize raia wote wa gaza tofauti na hapo bado hamasi wataendelea kuzaliwa kila siku tu.
Kwa Hamas walichokipanda Oct 07,2023 ndicho wanavuna sasa Netanyahu yuko sahihi kabisa kupiga mbwa hao!!Netanyau ni mpuuzi mkubwa kaharibu kazi nzuri waliyotaka kufanya kina Yitzhak Rabin ; upuuzi anaofanya kwa hizo war crimes za waziwazi inapelekea watu kuondoa hata sympathy waliyopata toka kibano cha Hitler as well as kurudisha antisemitism; Jamaa ni muongo aliyekuwa anataka support toka kitambo ya kusema Iran karibia anapata Nuclear weaponn ili tu aweza kuwabomoa (Gaidi mkubwa katika dunia ya leo ni huyu Bwana)....
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi magaidi wa kesho au magaidi wa leo kuweza kufanya recruitment zaidi.
Binafsi nilikuwa naitetea sana Israel kwa kipindi kirefu ambapo kulikuwa na Anti-Semitism kila kona na jinsi Hitler alivyowanyanyasa na kuwafanya hawa watu kama sio binadamu...
Ingawa leo hii anachofanya sidhani kama kina manufaa yoyote kwa mustakabali na amani ya dunia ya leo na...
- Logikos
- israel kuondoa ugaidi
- Replies: 89
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Unaua sisimizi kwa kutumia sumu inayoua mpaka mimea na chakula chako ? Ni kama unaondoa Al Qaeda wanakuja ISIS tena kwa alichofanya Israel vitatokea vikundi vingi zaidi; Mapambano na hawa watu wanaoweza kufanya brainwash ili kupata wafuasi sio kwa kutumia mabavu na kufanya kile ambacho hao watu wanawaambia wafuasi wao (tunaonewa) bali ni kuonyesha ubaya wao hata wao wenyewe kuwakataa from within...Kwa Hamas walichokipanda Oct 07,2023 ndicho wanavuna sasa Netanyahu yuko sahihi kabisa kupiga mbwa hao!!
Naomba unite mawazo yako wewe kama ungekuwa wewe ndiyo Benja baada ya Oct 07,2023 ungefanya nini?Unaua sisimizi kwa kutumia sumu inayoua mpaka mimea na chakula chako ? Ni kama unaondoa Al Qaeda wanakuja ISIS tena kwa alichofanya Israel vitatokea vikundi vingi zaidi; Mapambano na hawa watu wanaoweza kufanya brainwash ili kupata wafuasi sio kwa kutumia mabavu na kufanya kile ambacho hao watu wanawaambia wafuasi wao (tunaonewa) bali ni kuonyesha ubaya wao hata wao wenyewe kuwakataa from within...
Terrorist acts in (Cells) hakuna kichwa wala mkia ni ideology hata mwanao hapo anaweza akawa converted so long as anakuwa sympathizer na kinachofanyika na hana jinsi wala sehemu ya kupambana....
Unadhani huu Ugaidi umeanza jana ? na huwa watu wanafanyaje ? Kwa kutumia chakula kama silaha na ku-antagonize na kikiuka sheria za kivita kumeleta tija ?Naomba unite mawazo yako wewe kama ungekuwa wewe ndiyo Benja baada ya Oct 07,2023 ungefanya nini?