Marekani kuna mashirika ya
a) Kiupelelezi ambayo ni
1. C.I.A -upelelezi wa kimataifa/ukachero,na halipo chini ya wizara yoyote,linajitegemea.
2. N.S.A-upelelezi wa mitandaoni,linalinda njia kuu za mawasilaiano ya electronik ya nchi,kuiba data za nje kwa mitandao,lipo chini ya wizara ya ulinzi,na kwasasa ndiyo kubwa kwa idadi ya wafanyakazi na bajeti.
3. D.I.A-Upelelezi wa kijeshi,juu ya uwezo wa kijashi wa nchi nyingine,wapo chini ya wizara ya ulinzi
b) Uchunguzi/kipolisi
1. F.B.I-Hawa ni polisi wa ngazi ya kitaifa(federal polisi),wanahusika na uhalifu unaohusisha zaidi ya jimbo mji mmoja/matuiko ya kijimbo,lipo chini ya wizara ya sheria...
Huonekana katika balozi mbalimbali,kwakuwa ubalozi wa nchi A ndani ya nchi B kwasheria za kimataifa ni sawa na eneo la nchi A
Yaani, ubalozi wa marekani ndani ya Tanzania,ni sawa na eneo lilipo ndani ya mpaka wa marekani.
Note: Marekani kuna polisi wa ngazi ya mji e.g NYPD, LAPD etc na polisi wa kijimbo/taifa i.e F.B.I
2. U.S MARSHALS -hawa uhusika na ulinzi wa majaji,kusafirisha wafungwa,kutafuta wafungwa waliopotea,na wale walio katika parole
3. D.E.A-hawa uhusika na masuala ya madawa ya kulevya,ndani na nje ya nchi.
4. SECRET SERVICE-hawa uhusika ulinzi na usalama wa viongozi wa ngazi ya juu katika serili, viongozi wastaafu,wagombea uraisi na familia ya viongozi hao,lakini pia hawa uhusika usimamizizi wa noti za marekani, kuepusha fedha fedha feki. wapo wenye uniform na wale waio na uniform
Kimsingi U.S.A kuna mashirika ya kiusalama yasiopungua 16, na hayo ni baadhi.