Central Intelligence Agency
Hicho ndo kirefu cha CIA sio kama ulivotuwekea hapa
Uwe na mipaka na Imani yako.....ulichoandika hakina mahusiano na mada.Nchi Na Yote Viijazavyo Dunia Ni Mali Ya Bwana
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwanini nchi yetu haiundi vyombo vya kitaalamu kama hivi?
Unakuta mtu kama msukuma eti ndio usalama wa Taifa!??
Nchi inajengwa na wananchi. Tuijenge nchi kwa uzalendo.
Ni Ramadhan nyingine tena Alhamdulillah.Nawahi siti
*
*
*****Nakutakia RAMADAN KAREEM*****
Kwanini nchi yetu haiundi vyombo vya kitaalamu kama hivi?
Unakuta mtu kama msukuma eti ndio usalama wa Taifa!??
Nchi inajengwa na wananchi. Tuijenge nchi kwa uzalendo.
izzo,
Uliposema tu Pakistan ni ya kwanza ndipo nilipodharau hili bandiko
Wajuzi wa mambo naomba kujua utofauti wa majukumu kati ya idara hizo za kiusalama nchini marekani
FBI (Federal Bureau Investigation) ni Idara ya usalama ndani ya Taifa la Marekani. Hii ufanya kazi zake za ujasusi na upelelezi wa matukio yoyote Yale ndani ya Taifa.FBI ni asikari wa usalama wa taifa la Taifa la Marekani na CIA ni asikari wa wanaofanya kazi ndani na nje ya nchi ya Marekani mm hivi ndio navyo jua kuhusiana na hivi vitengo.
CIA kirefu chake ni Central Intelligence Agency, FBI ni Federal Bureau of investigation.FBI ni asikari wa usalama wa taifa la Taifa la Marekani na CIA ni asikari wa wanaofanya kazi ndani na nje ya nchi ya Marekani mm hivi ndio navyo jua kuhusiana na hivi vitengo.