Msiba umeisha?Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi mwenzao.
Kwa upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumemshuhudia Rais Uhuru Kenyatta pekee kati ya Marais 5 wanaounda Jumuiya.
Itoshe tu kusema SADC ndio marafiki wa kweli.

Mtazinguana lakini bado mtakuwa pamoja[emoji1787][emoji1787] Niiikama mtu na mdogo wake
Kweli na Kenya ni ndugu ambaye anakera lakini hakwepeki.
Kenya ni majirani zetu wa ukweli. Wachokozi sana lakini ndo majirani zetu haswa na wa ukweli.Na Kenyatta nivile ndie Mwenyekiti wa EAC lasivyo angenyuti tu kama Kagame.
Kweli jirani ,uviko ni hatari ila sisi waTZ kunaichukulia poa ,nadhani vifo vya high ranks vitatupa funzo na kuaanza kuchukua tahadhari,mawaziri wanashaanza now kuvaa barakoa.Hiki ni kipindi hatari sana na nyie Watanzania mnavyokusanyika na kubanana kwenye huu msiba bila kuchukua tahadhari kisha mnategemea nani aje kujitoa mhanga kisa undugu.
Hao watakuja siku ya kumzika kisha wasepe, masuala ya maisha hayana utani maana uhai unao mmoja tu na hauna mbadala, hiki kirusi kinaondoka na yeyote hata uwe tajiri mwenye hela au rais, kinakubeba tu.
Ingekua huyu kwenye hii picha ndiye anaongoza, nahisi mambo yangekua tofauti maana yeye huwa mjanja sana alishasema za kuambiwa ongeza na zako pia. Ona hapa alivyojilinda wakati wengine wamejianika mazima mazima.
Museveni yeye lazima Chato atakuwepo!Kagame, Mseveni na Ndahishimiye wanaweza kuhudhuria kwenye kumzika Chato!
Tehe tehe tehe.Ndiyo ujifunze Bwashee kwenye kuchagua marafiki. Wengi ni wanafiki na ma opportunists! Ila karibia wote nadhani wameogopa Corona bila shaka. Ingawa hii sababu nayo haina mashiko!
Au labda walimpenda sana marehemu! Hivyo wangekuja kumuaga, wangeishia kulia tu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] hadharani!
You made my day😂😂😂!Kweli na Kenya ni ndugu ambaye anakera lakini hakwepeki.
You made my day😂😂😂!Kweli na Kenya ni ndugu ambaye anakera lakini hakwepeki.
Kuna mashiko humu. Tujiandae mda wotenadhan itoshe kusema kazi ya Mungu ibakie kama ilivo, he is gone already and kilichobaki ni sisi ambao yatupasa kujiandaa kama yeye alivojiandaaa! binadam hatuna rights zozote za kuishi apa duniani kwa sababu ni kupita, ukishapita we shukuru Mungu thats all and on to the next jouurney
Tusubiri tuoneMuseveni lazima aje amzike swahiba wake hata akiwa kwenye machela lazima afike
MaybeKagame na mseveni watakuja Chato
East africa nzima Uhuru ni smarter kuliko wote. Ni bora tuongozwe na watoto wa viongozi huwa wanarithi Yale ya baba yao.Hatutasahau; tutakutana huko mbele ya safari. Wengine wao watajialumu wakati it is too late!!! Ndiyo maana wakati mwingine nadhani kuwa Uhuru yuko smart sana kwa kiasi chake.
Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli.
Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa.
Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika Kusini, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Congo nk wakija kumuaga Hayati Magufuli ambaye alikuwa kiongozi mwenzao.
Kwa upande wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumemshuhudia Rais Uhuru Kenyatta pekee kati ya Marais 5 wanaounda Jumuiya.
Itoshe tu kusema SADC ndio marafiki wa kweli.
Kuna mashiko humu. Tujiandae mda wote