Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana nyingine nyoka ni alama ya tiba na ulinzi, angalia nembo ya utabibu ni nini.. Point iko hapo ambapo hajakudhuru.Kuna ndoto moja niliota mara mbili ila kwa vipindi tofauti kuna nyoka alikuwa ananitokea kitandani ila hakuwahi kuni dhuru hii ili kuwa ina maana gani? Na ndoto nyingine niliwahi kuota nimetokewa na mababu wawili wana nguo nyeupe nywele nyeupe hadi ndevu zao nilikuwa kati kati yao sikuelewa nini wanaongea ila vitendo vyao nilielewa walichanganya dawa kwenye bakuri na kunipa nikanywa kisha wakaondoka ila nakumbuka kipindi hicho nilikuwa kwenye vita na vitu vya giza sana kwahiyo mie niliweka tu conclusion kuwa hao walikuwa ni wazee wangu wa kale wa ukoo wetu upande wa mama hata nilivyo mwambia mama akasema hata yeye pia huwa inatokea hivyo hawa wanakuaga na lengo gani haswa kujenga au kubomoa?.
Mmh niseme wazi kwamba hili sina uwezo nalo na naogopa kufanya guess works! Sanasana jaribu kutumia makataMkuu wife ana kitu kama linyama limemkaa kooni keshaenda bugando, hindu mandal wamempima hawaoni tatizo wala linyama yeye analalamika bado kuna kitu kama linyama bado lambana kooni, naomba msaada wa tiba
Makata jini mkuu?Mmh niseme wazi kwamba hili sina uwezo nalo na naogopa kufanya guess works! Sanasana jaribu kutumia makata
Mkuu samahani mm Mara nyingi naotaga nipo darasani shule ya msingi au sekondari nilizo soma,ajabu ni kwmba haipitagi cku tatu bila hii ndoto kujirudia,mara nyingi nikiwa nafanya mtihani au maandalizi nikiwa na hofu nyingi ya paper alafu ni madhari ya kweli niliyosoma ata walimu na wanafunzi ni walewale yaani utafikiri ni rekodi.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
NakunukuuUnajua watu hufa kabla ya kufa kabisa... Mtu anakuonea kijicho anakuendea kwa mganga ili akuondoe duniani.. Anapewa beseni la maji mara anaona sura yako majini. Anapewa kisu achome yale maji akisita umepona na huko uliko utashtuka toka kwenye ndoto mbaya ya kifo... Asiposita umeondoka
Lakini vilevile usiku roho huenda kuvinjari ulimwengu huko hukutana na hathatari mbalimbali na ndio mwanzo wa ndoto za kifo
Ni zile fikra za kutaka kusoma zimegandamana kwenye medulla yako... Hivyo ITAENDELEA kujirudiaMkuu samahani mm Mara nyingi naotaga nipo darasani shule ya msingi au sekondari nilizo soma,ajabu ni kwmba haipitagi cku tatu bila hii ndoto kujirudia,mara nyingi nikiwa nafanya mtihani au maandalizi nikiwa na hofu nyingi ya paper alafu ni madhari ya kweli niliyosoma ata walimu na wanafunzi ni walewale yaani utafikiri ni rekodi.
Ni kweli nilikua napenda sana kusoma ila ilitokea nikakwama aliyekua ananilipia ada naye akaniambia nisubiri uchumi umedorora,nikaingia kusaka pesa niendelee ila nikatafakari nikiingia shule pesa sitapata tena ,ikawa ndio bc tena
Safi sanaNdoto ya kuota unakula ni pana sana ktk ulimwengu wa roho. Kwanza niseme kuota siyo hiyari.
1.kulishwa chakula hasa Nyama ni ishara ya kuingizwa ktk mkataba mbaya ushirikina, and other things related to ushirikina
2.kuota unakula ndotoni inategemeana na aina ya chakula. Mf ukiota unakula matunda ni ishara ya neema kwako au kunywa maziwa.
3.kuota unakula nyama yaweza kuwa ni ishara ya maagano ya roho na mwili kwako ama kwa mtu mwingine wa karibu. Mfano wa hayo ni kifo kwako ama kwa mtu wa karibu. Rejea paasaka ya waisrael ilihusisha kuchinja yale ni maagano, tambiko zote za waisrael zilihusisha nyama.
Ulimwengu wa ndoto ni mpana sana unachoota wewe unaletewa kopi tu mtambo wa ndoto yaani saver ziko mbinguni. Ndoto hutoka kwa Mungu.
That's why unaweza kuota ndoto ukaipuuzia akaoteshwa mwingine kwa ajili yako kwa style nyingine akuletee ujumbe huo yaani Mungu anatoa kopi anatuma tu.
Kuota hakuna cha tajiri wala masikini ila ndoto zinapishana kutegemeana na mamlaka tuliyonayo duniani.
Ndoto aotazo Magufuli rais haziwezi kuwa sawa na zangu mla panya vivyo hivyo ndoto niotazo mimi Baba wa nyumba ni tofauti na waotazo watoto.
Ndiyo maana ndoto aliyoota mfalme farao alipewa yy kutokana na uzito wake na nguvu zake kama mfalme na angeipotezea adhabu kubwa ingekuwa juu yake.
Ndoto zote zina maana ila kuna utofauti kati ya ndoto na maono. Naomba niishie hapa niwahi riziki zangu.
Mkuu ni muda sasa miaka imepita kama13. Na mm nakaa mbali sana na mazingira hayo tatizo Mara zote ni ile hofu kubwa ya mitihaniNi zile fikra za kutaka kusoma zimegandamana kwenye medulla yako... Hivyo ITAENDELEA kujirudia
UKIOTA UPO SHULE YA MSINGI AU SEKONDARI AU UPO CHUO NA USHAMALIZA ROHO MTAKATIFU ANAKUAMBIA UWEZI KUVUKA MPAKA UITOE NAFSI YAKO HAPODuh niliogopa sana, na kusali sana asubuhi nilipoikumbuka ukizingatia naotaga sana Niko primary kijijini darasa la 5 au la 6 wakati nilimaliza primary toka 98 sijawah ota secondary, university wala masters hii iko vipi ni sawa au?
ndugu zetu wa upande wa pili hawewezi kutoa pepo wao wanachojua ni kupunga pepo maana yake unalituliza pepo linasema nataka mkufu wa dhahabu unalipa, nataka kikuku unavaa,haya ni mambo ya kiroho nje ya Damu ya Yesu uwezi pata msaada kabisaMakata jini mkuu?