Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Ndoto ya kuota unakula ni pana sana ktk ulimwengu wa roho. Kwanza niseme kuota siyo hiyari.

1. kulishwa chakula hasa Nyama ni ishara ya kuingizwa ktk mkataba mbaya ushirikina, and other things related to ushirikina

2. kuota unakula ndotoni inategemeana na aina ya chakula. Mf ukiota unakula matunda ni ishara ya neema kwako au kunywa maziwa.

3. kuota unakula nyama yaweza kuwa ni ishara ya maagano ya roho na mwili kwako ama kwa mtu mwingine wa karibu. Mfano wa hayo ni kifo kwako ama kwa mtu wa karibu. Rejea paasaka ya waisrael ilihusisha kuchinja yale ni maagano, tambiko zote za waisrael zilihusisha nyama.
Ulimwengu wa ndoto ni mpana sana unachoota wewe unaletewa kopi tu mtambo wa ndoto yaani saver ziko mbinguni.

Ndoto hutoka kwa Mungu.
That's why unaweza kuota ndoto ukaipuuzia akaoteshwa mwingine kwa ajili yako kwa style nyingine akuletee ujumbe huo yaani Mungu anatoa kopi anatuma tu.

Kuota hakuna cha tajiri wala masikini ila ndoto zinapishana kutegemeana na mamlaka tuliyonayo duniani.
Ndoto aotazo Magufuli rais haziwezi kuwa sawa na zangu mla panya vivyo hivyo ndoto niotazo mimi Baba wa nyumba ni tofauti na waotazo watoto.
Ndiyo maana ndoto aliyoota mfalme farao alipewa yy kutokana na uzito wake na nguvu zake kama mfalme na angeipotezea adhabu kubwa ingekuwa juu yake.

Ndoto zote zina maana ila kuna utofauti kati ya ndoto na maono. Naomba niishie hapa niwahi riziki zangu.
 
Zamani kidogo niliwahi kuota nimeenda nchi flani hivi, niliota mpaka Mara tatu kisha sijawahi ota tena. Hii inamaana gani Mshana?
 
Na vipi kuhusu vivid dreams zinaukweli wowote? Niliwahi ota mtu flani aliekufa ananipa maagizo flan kama kweli vile mpaka nkawa naogopa, hii inamaana gani
 
Kwa maana nyingine nyoka ni alama ya tiba na ulinzi, angalia nembo ya utabibu ni nini.. Point iko hapo ambapo hajakudhuru.

Kuhusu hilo la pili hakuna ubaya ni mizimu ya hao mababu inakulinda pia.. Hivyo ulikuwa na ulinzi kotekote
 
Zamani kidogo niliwahi kuota nimeenda nchi flani hivi, niliota mpaka Mara tatu kisha sijawahi ota tena. Hii inamaana gani Mshana?
Sometimes ni yale tuyatamaniyo sana tuyapate huja baadae kwa njia ya ndoto. Ni vague memories
 
Na vipi kuhusu vivid dreams zinaukweli wowote? Niliwahi ota mtu flani aliekufa ananipa maagizo flan kama kweli vile mpaka nkawa naogopa, hii inamaana gani
Ndoto taarifa hizo
 
Mkuu wife ana kitu kama linyama limemkaa kooni keshaenda bugando, hindu mandal wamempima hawaoni tatizo wala linyama yeye analalamika bado kuna kitu kama linyama bado lambana kooni, naomba msaada wa tiba
 
Mkuu wife ana kitu kama linyama limemkaa kooni keshaenda bugando, hindu mandal wamempima hawaoni tatizo wala linyama yeye analalamika bado kuna kitu kama linyama bado lambana kooni, naomba msaada wa tiba
Mmh niseme wazi kwamba hili sina uwezo nalo na naogopa kufanya guess works! Sanasana jaribu kutumia makata
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mkuu samahani mm Mara nyingi naotaga nipo darasani shule ya msingi au sekondari nilizo soma,ajabu ni kwmba haipitagi cku tatu bila hii ndoto kujirudia,mara nyingi nikiwa nafanya mtihani au maandalizi nikiwa na hofu nyingi ya paper alafu ni madhari ya kweli niliyosoma ata walimu na wanafunzi ni walewale yaani utafikiri ni rekodi.

Ni kweli nilikua napenda sana kusoma ila ilitokea nikakwama aliyekua ananilipia ada naye akaniambia nisubiri uchumi umedorora,nikaingia kusaka pesa niendelee ila nikatafakari nikiingia shule pesa sitapata tena ,ikawa ndio bc tena
 
Nakunukuu

"Kuna Wengine Hufa Huku wakiwa wanatembea "

Hili Swala mpaka leo nalifikilia
 
Ni zile fikra za kutaka kusoma zimegandamana kwenye medulla yako... Hivyo ITAENDELEA kujirudia
 
Safi sana
 
Ni zile fikra za kutaka kusoma zimegandamana kwenye medulla yako... Hivyo ITAENDELEA kujirudia
Mkuu ni muda sasa miaka imepita kama13. Na mm nakaa mbali sana na mazingira hayo tatizo Mara zote ni ile hofu kubwa ya mitihani
 
Duh niliogopa sana, na kusali sana asubuhi nilipoikumbuka ukizingatia naotaga sana Niko primary kijijini darasa la 5 au la 6 wakati nilimaliza primary toka 98 sijawah ota secondary, university wala masters hii iko vipi ni sawa au?
UKIOTA UPO SHULE YA MSINGI AU SEKONDARI AU UPO CHUO NA USHAMALIZA ROHO MTAKATIFU ANAKUAMBIA UWEZI KUVUKA MPAKA UITOE NAFSI YAKO HAPO
MARA NYINGI UHARIBIFU WA kiroho unatokea mashuleni sasa omba kuita nafsi yako kutoka hapo fanya haya maombi kila siku Zaburi 69;13-18 omba damu ya YESU IKULIPIE FIDIA MPAKA UTOKE HAPO
CHEK MAISHA YAKO YA UCHUMI UMEKWAMA LAZIMA unaishi chini ya kiwango chako
 
Makata jini mkuu?
ndugu zetu wa upande wa pili hawewezi kutoa pepo wao wanachojua ni kupunga pepo maana yake unalituliza pepo linasema nataka mkufu wa dhahabu unalipa, nataka kikuku unavaa,haya ni mambo ya kiroho nje ya Damu ya Yesu uwezi pata msaada kabisa
MATENDO YA MITUME 19;13-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…