Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi.
Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume.
Polygamy ni mwendelezo wa old fashioned masculinity ya enzi na enzi, kwamba kidume naweza, kidume mimi ni mashine.
Mnakuja na visababu mara sijui dini, sijui mwanamke mmoja changamoto,, etc acheni bwana, ni basi tu umejikuta una viela, hamu zako zimekufika puani sasa unavuta pisi uliyoiona stendi, and I can guarantee you wala hausolve chochote zaidi ya ku-prove u-kidume wako.