Sure thing πHizo kauli za mke mmoja hatoshi, mwanaume mwenye afya unaweza vipi kukaa miezi kadhaa bila kunjunja, mwanaume kaumbiwa mizagamuo nk.
Ni kwasababu umeruhusu hizo tamaa zikutawale ila sio kua haiwezekani.
Ukiwa apeche pisi unaziona kama simba jike, ukizipata haipiti wiki hujanjunja mara kadhaa.
Ni sawa na mlevi ambae haipiti siku hajazimu, huwa anawashangaa ambao wanapiga masanga mara moja kwa mwezi, wanawezaje na uwezo wanao. Ni uraibu tu sometimes.
π€£π€£ Wacha prof paragamba John Aidan kabudi afanye tu singeli iwe utambulisho wa taifaπ€£π€£πππ
π€£π€£π€£ Oya tafuta helaaa...mapenzi hisia....π€£π€£Hii nchi imeshatushinda ni bora tuondoke waje wengineππππ