Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipanya na waandishi wa bongo wanajulikana wapo kwenye payroll ya CCM siku nyingi sana.Nyie endeleeni na minyukano kuna lijitu likubwa linawasubiria🐼
View attachment 3202651
Tumekubaliana wananchi ni wajinga hivyo pamoja na kula mlo mmoja ila bado wana mapenzi na ccm au sivyo?CCM na show off yao wakati Watanzania waliowengi wanashindia mlo mmoja.
Sawa tutaona.Unasaidia kuwaondoa kwenye ujinga
kwahiyo mabasi mapya yangepitishwa angani wana CCM wasioyaone mabasi yao mapya, na matangazo ya kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa yasingetolewa kwa uma right?Mwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.
Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemkokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.
Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.
Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Unazungumzia hizi chaguzi za kubumba??Midahalo yenye hoja nzito ya Chadema isiyowapa ushindi Chadema kwenye chaguzi ina faida gani hasa?
Ikifika kipindi cha uchaguzi uwe wa mitaa au taifa mnabwagwa chini na midahalo yenu
Tumekubaliana wananchi ni wajinga hivyo pamoja na kula mlo mmoja ila bado wana mapenzi na ccm au sivyo?
Mabasi yaliletwa lini? Kulikuwa na haja ya kuyapiga picha sijui ma video na kuyatangaza kipindi hiki?kwahiyo mabasi mapya yangepitishwa angani wana CCM wasioyaone mabasi yao mapya, na matangazo ya kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa yasingetolewa kwa uma right?
Kwahiyo kutuhumiana uzushi na kutukanana matusi ya nguoni baina ya wagombea uenyekiti wa chadema Taifa ndiyo midahalo, right?🤣
lini ili iweje gentleman?Mabasi yaliletwa lini? Kulikuwa na haja ya kuyapiga picha sijui ma video na kuyatangaza kipindi hiki?
Hayo mabango mnayoyatandaza Dodoma ya nini?

Kwahiyo watanzania wajinga au sio wajinga?US cites ‘credible allegations’ of fraud in Tanzania election
Story by Reuters
3 minute read
Published 9:37 AM EDT, Fri October 30, 2020
![]()
A voter casts her ballot at Wazo Hill polling station in Dar es Salaam, Tanzania, on October 28.
-/AFP/AFP via Getty Images
The United States said on Thursday there were “serious doubts” about the credibility of Tanzania’s presidential election while the leading opposition candidate urged countries not to recognize the results of a “travesty” of a poll.
Ukipiga kura na kura zako zikiibiwa kila siku na wewe unaangalia tu ni ujinga.Kwahiyo watanzania wajinga au sio wajinga?
pamoja na kwamba huo ni ushabiki na mtaamo wako, kumbuka huwezi kumlinganisha Tembo na Sungura. CCM ni chama kubwa sana na tajiri, Chadema ni katoto tu ambako hakana rasilimali yoyte hasa fedha. Suala la kwamba Chadema wana hoja ni kwamba umepumbazwa na ushabiki huwezi kuielewa CCM WEWEMwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.
Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemkokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.
Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.
Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
inaonekana umezoea mipasho km ya uswahilini, kushambuliana na kuaibishana ndiyo sera? ndiyo hoja? hao wanavuana nguo, we wa uswahilini utajua wapi maana ya seraMwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.
Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemkokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.
Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.
Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Ambao sio wajinga wamefanya nini kwenye hilo? Yani nyie ambao sio wajinga mmefanya nini ila wajinga wanawakwamisha?Ukipiga kura na kura zako zikiibiwa kila siku na wewe unaangalia tu ni ujinga.
Mikutano ya CCM ya kamati kuu na halmashauri kuu vya uteuzi huwa siri hakuna cha media wala niniPia kuna kitu kipya nimegundua, Wananchi wameanza kujua haki zao za msingi, wamewapuuza kabisa ccm na Mkutano wao, Masikio na Macho yao yote yako Kwenye Mkutano wa Chadema tu
Hivi wewe ukiibiwa mara moja mara mbili mara tatu huyo mwizi wako utamuacha tu?!Ambao sio wajinga wamefanya nini kwenye hilo? Yani nyie ambao sio wajinga mmefanya nini ila wajinga wanawakwamisha?
Too late!Mikutano ya CCM ya kamati kuu na halmashauri kuu ya uteuzi huwa siri hakuna cha media wala nini
Subiri hivyo vikao vikiisha jina likapelekwa .mkutano mkuu ndio utajua
Vyombo vyote vya habari vya ndani na nje vitalipuka kutangaza huo mkutano na CCM itakuwa habari ya mjini hadi huko.Chadema
Wazo la kuibiwa kura halina uzito huo kwa wananchi ndio maana unaona wanaacha.Hivi wewe ukiibiwa mara moja mara mbili mara tatu huyo mwizi wako utamuacha tu?!
Wamechelewa sanaToo late!