Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

Nyie endeleeni na minyukano kuna lijitu likubwa linawasubiria🐼
1000019094.jpg
 
Mwenye macho haambiwi tazama.

Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.

Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.

Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemkokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.

Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.

Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
kwahiyo mabasi mapya yangepitishwa angani wana CCM wasioyaone mabasi yao mapya, na matangazo ya kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa yasingetolewa kwa uma right?

Kwahiyo kutuhumiana uzushi na kutukanana matusi ya nguoni baina ya wagombea uenyekiti wa chadema Taifa ndiyo midahalo, right?🤣
 
Midahalo yenye hoja nzito ya Chadema isiyowapa ushindi Chadema kwenye chaguzi ina faida gani hasa?

Ikifika kipindi cha uchaguzi uwe wa mitaa au taifa mnabwagwa chini na midahalo yenu
Unazungumzia hizi chaguzi za kubumba??
 
Tumekubaliana wananchi ni wajinga hivyo pamoja na kula mlo mmoja ila bado wana mapenzi na ccm au sivyo?

US cites ‘credible allegations’ of fraud in Tanzania election​

Story by Reuters
3 minute read
Published 9:37 AM EDT, Fri October 30, 2020

A voter casts her ballot at Wazo Hill polling station in Dar es Salaam, Tanzania, on October 28.

-/AFP/AFP via Getty Images
The United States said on Thursday there were “serious doubts” about the credibility of Tanzania’s presidential election while the leading opposition candidate urged countries not to recognize the results of a “travesty” of a poll.
 
kwahiyo mabasi mapya yangepitishwa angani wana CCM wasioyaone mabasi yao mapya, na matangazo ya kuitishwa kwa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa yasingetolewa kwa uma right?

Kwahiyo kutuhumiana uzushi na kutukanana matusi ya nguoni baina ya wagombea uenyekiti wa chadema Taifa ndiyo midahalo, right?🤣
Mabasi yaliletwa lini? Kulikuwa na haja ya kuyapiga picha sijui ma video na kuyatangaza kipindi hiki?

Hayo mabango mnayoyatandaza Dodoma ya nini?
 
lini ili iweje gentleman? :pedroP:

kwanini mambo ya wazi yafanyike gizani? Ile ni mali ya umma, wanaCCM na waTanzania wana haki na uhuru kupiga picha na vide za rasilimali zinazotokana na kodi zao. makasiriko na wivu vinatoka wap gentleman?:pedroP:

mabango, bendera, nyimbo, pikipiki, magari na mambo kadha wa kadha unayoyaona nchi nzima, ni wajibu wa ccm kuwajulisha na kuujulisha uma wa waTanzania mambo mbalimbali yaliyofanywa na CCM kupitia serikali sikivu ya ccm, chini ya mwenyekiti wa ccm taifa na Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassana:HAhaa:
 
US cites ‘credible allegations’ of fraud in Tanzania election​

Story by Reuters
3 minute read
Published 9:37 AM EDT, Fri October 30, 2020

A voter casts her ballot at Wazo Hill polling station in Dar es Salaam, Tanzania, on October 28.

A voter casts her ballot at Wazo Hill polling station in Dar es Salaam, Tanzania, on October 28.
-/AFP/AFP via Getty Images
The United States said on Thursday there were “serious doubts” about the credibility of Tanzania’s presidential election while the leading opposition candidate urged countries not to recognize the results of a “travesty” of a poll.
Kwahiyo watanzania wajinga au sio wajinga?
 
Mwenye macho haambiwi tazama.

Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.

Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.

Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemkokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.

Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.

Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
pamoja na kwamba huo ni ushabiki na mtaamo wako, kumbuka huwezi kumlinganisha Tembo na Sungura. CCM ni chama kubwa sana na tajiri, Chadema ni katoto tu ambako hakana rasilimali yoyte hasa fedha. Suala la kwamba Chadema wana hoja ni kwamba umepumbazwa na ushabiki huwezi kuielewa CCM WEWE
 
Mwenye macho haambiwi tazama.

Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.

Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.

Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemkokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.

Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.

Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
inaonekana umezoea mipasho km ya uswahilini, kushambuliana na kuaibishana ndiyo sera? ndiyo hoja? hao wanavuana nguo, we wa uswahilini utajua wapi maana ya sera
 
Pia kuna kitu kipya nimegundua, Wananchi wameanza kujua haki zao za msingi, wamewapuuza kabisa ccm na Mkutano wao, Masikio na Macho yao yote yako Kwenye Mkutano wa Chadema tu
Mikutano ya CCM ya kamati kuu na halmashauri kuu vya uteuzi huwa siri hakuna cha media wala nini

Subiri hivyo vikao vikiisha jina likapelekwa .mkutano mkuu wa CCM ndio utajua

Vyombo vyote vya habari vya ndani na nje vitalipuka kutangaza huo mkutano na CCM itakuwa habari ya mjini hadi huko.Chadema
 
Mikutano ya CCM ya kamati kuu na halmashauri kuu ya uteuzi huwa siri hakuna cha media wala nini

Subiri hivyo vikao vikiisha jina likapelekwa .mkutano mkuu ndio utajua

Vyombo vyote vya habari vya ndani na nje vitalipuka kutangaza huo mkutano na CCM itakuwa habari ya mjini hadi huko.Chadema
Too late!
 
Back
Top Bottom