Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

Uchaguzi wa Chadema umenivutia sana. Wanafanya siasa kama za Republicans na Democrats kule Marekani.

Hadi unaona raha kufuatilia siasa. Sio ule ujinga wa CCM kule
Haifai kufanya mdahalo wa wagombea wa uongozi katika chama. Hata Republicans au Democrats huwa hawafanya midahalo ya aina hii.
 
Mwenye macho haambiwi tazama.

Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.

Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.

Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.

Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.

Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Chadema ni chama, vingine ni mikusanyiko ya wezi
 
Kwa nini haifai?
Vyama vinatakiwa viongozwe kwa consensus zaidi, hata kama uchaguzi unakuwepo hautakiwi uwe wa mbwembwe nyingi hivi na misuguano kama huu wa CHADEMA. Hata huko kwenye demokrasia zilizokamaa sijawahi kuona midahalo ya umma kati ya wagomea nafasi za chama.
 
CCM Chama Cha Mazezeta
 
Umefatilia Chaguzi ndani ya Republican jinsi Trump alivyopita?
 
Daima chadema idumu na ikawe mwiba Kwa CCM daima
 
CCM ipo imara sababu ya resources walizojitwalia na kujimilikisha majeshi😁 na watu wamejazana Dodoma sio kwamba wanaipenda sana CCM ila ni kulinda maslahi yao.
 
Mara chache sana kumkuta mtu wa chadema au upinzani hatemi madini
 
..na ndyo malumbano ya hoja yanayoendelea sasa, kati ya nguli wawili, FREEMAN & ANTIPAS LISSU, naona wanakivusha Chama to the next better level 😛
Hayo si malumbano ya kuimarisha chama.Ni mipasho inayofanana na ya akina Hadija Kopa.
Malubano yao wamejikita kugombania nafasi za uongozi ndani ya chama ili kujaza matumbo tu.Hawana tofauti na akina pangu pakavu tia mchuzi.
Mwenyekiti Mbowe anasema walipokuwa wana nyadhifa za ubunge wala hawakulalamikia uongozi wake,lakini sababu ya ukata ndipo wameona Mbowe ame OVERSTAY kwenye wenyekiti.
Kibaya zaidi inashangaza kuona viongozi hao tena makada vijana wa zamani ngazi ya taifa wakiendelea kutoa mipasho kama ya saloon za Sinza.

Rushwa,ufisadi umetamaki,hata wanaojitia wanachukia rushwa ni kwasababu hawajapata mchongo.
Na pale walipopata kipenyo wameshindwa kuonyesha kwa ukamilifu pesa iliopatikana kwenye harambee hizo.Join the chain na mchango wa gari mmoja tu ya Lissu ni mali bila daftari.

Chadema mpya izaliwe upya na damu safi na salama mpya,siyo na recycle bins za hao wanaojitia wanaharati fake.
Umekaa kwenye sekretalieti na pengine kwenye halmashauri ya chama miaka 20 au hata 15,unafungua domo lako kuwa Mbowe ajiuzulu ili eti amekuwa kiongozi kwa muda mrefu na ninyi wasaidizi wake je?Mnasahau ninyi ni old wine in the new bottle?
 
Back
Top Bottom