imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wanaogopa kuuwawa na kupotezwa.Wazo la kuibiwa kura halina uzito huo kwa wananchi ndio maana unaona wanaacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa kuuwawa na kupotezwa.Wazo la kuibiwa kura halina uzito huo kwa wananchi ndio maana unaona wanaacha.
Kuna muda huwa naisi kama CCM wamelaaniwa vileCCM na show off yao wakati Watanzania waliowengi wanashindia mlo mmoja.
Tukisema "Afrika" mbona kuna wengine wanaweza mfano Botswana.Kuna muda huwa naisi kama CCM wamelaaniwa vile
Kipi kinachokufanya useme wanaogopa kuuwawa? Mimi sioni hao watu ambao wanaogopa kuuwawa bali naona watu ambao hawajali hilo suala.Wanaogopa kuuwawa na kupotezwa.
Haifai kufanya mdahalo wa wagombea wa uongozi katika chama. Hata Republicans au Democrats huwa hawafanya midahalo ya aina hii.Uchaguzi wa Chadema umenivutia sana. Wanafanya siasa kama za Republicans na Democrats kule Marekani.
Hadi unaona raha kufuatilia siasa. Sio ule ujinga wa CCM kule
Kwa nini haifai?Haifai kufanya mdahalo wa wagombea wa uongozi katika chama.
Chadema ni chama, vingine ni mikusanyiko ya weziMwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.
Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.
Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.
Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
HahahaCCM na show off yao wakati Watanzania waliowengi wanashindia mlo mmoja.
Vyama vinatakiwa viongozwe kwa consensus zaidi, hata kama uchaguzi unakuwepo hautakiwi uwe wa mbwembwe nyingi hivi na misuguano kama huu wa CHADEMA. Hata huko kwenye demokrasia zilizokamaa sijawahi kuona midahalo ya umma kati ya wagomea nafasi za chama.Kwa nini haifai?
CCM Chama Cha MazezetaMwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.
Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.
Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.
Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Umefatilia Chaguzi ndani ya Republican jinsi Trump alivyopita?Vyama vinatakiwa viongozwe kwa consensus zaidi, hata kama uchaguzi unakuwepo hautakiwi uwe wa mbwembwe nyingi hivi na misuguano kama huu wa CHADEMA. Hata huko kwenye demokrasia zilizokamaa sijawahi kuona midahalo ya umma kati ya wagomea nafasi za chama.
Ule ulikuwa ni uchaguzi wa kumtafuta mgombea urais wa nchi sio kuwa mwenyekiti wa chama.Umefatilia Chaguzi ndani ya Republican jinsi Trump alivyopita?
Alipigwa vita ndani ya Republican wazi wazi. Alitetea nafasi yake akaonekana bado anafaaUle ulikuwa ni uchaguzi wa kumtafuta mgombea urais wa nchi sio kuwa mwenyekiti wa chama.
Daima chadema idumu na ikawe mwiba Kwa CCM daimaMwenye macho haambiwi tazama.
Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi.
Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii ambavyo kwa kifupi vyote ni matumizi mabaya ya kodi za wajinga wa Tanzania.
Ila upande wa CHADEMA tunaona malumbano ya hoja za msingi na mchakato wa uchaguzi ulio wazi wa kidemokrasia ukiwavutia watanzania kufuatilia kwa karibu mikutano inayoendelea ya chama hiki.
Watanzania wanapata nafasi ya kujua wagombea wa Chadema, sera zao, maono yao na wakishuhudia midahalo ya Timu zao za Kampeni. Vyote hivi vinafanyika kwa kupigana vijembe kweli huku chama hiki kikiendelea kuwa kimoja bila kuvunjika tofauti na matarajio ya wapiga ramli wa CCM.
Kweli kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Hayo si malumbano ya kuimarisha chama.Ni mipasho inayofanana na ya akina Hadija Kopa...na ndyo malumbano ya hoja yanayoendelea sasa, kati ya nguli wawili, FREEMAN & ANTIPAS LISSU, naona wanakivusha Chama to the next better level 😛