Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

Katika kuangalia salio umedanganya mteja akiangalia salio Kwa Wakala anakatwa 400 na sio 2000 kama umevyoandika
 
ubarikiwe sana mkuu
 
Asante sana mkuu nimekuelewa ila hiyo Internet banking sijakupata mkuu ni App ama?
 
Nauli ya 200 bado ipo dunia hii?
 
CRDB wameshafanya marekebisho kwa laini za voda, tigo na halotel ni free kutumia USSD.
NMB kwa voda wanacharge kisenge, unaweza kujikuta unatumia buku coz kuna muda inaishia njiani na hapo umeshakatwa.
NMB ni bure kwa tigo.
 
Naomba kufahamu gharama za kutoa pesa kwa kutumia VISA Card Yaani mfano unae card ya CRDB unaenda kutoa pesa NMB au NBC n.k hapo gharama zikoje wajuzi?
 
Kuna baadhi ya mambo umeyaandika sio sahihi.
Kuangalia salio kupitia wakala hawakati zaidi ya 500.
Kuangalia salio kwa app ya simbanking ni bure.

Nje ya mada: Tangu niwe na akaunti ya CRDB 2022 sijawahi kukatwa pesa ya kila mwezi 😎
 
Hapo kwa gharama ulizoandika SimBanking siyo kweli!
CRDB huduma ya SimBanking wanatoza gharama kubwa sana kuangalia salio ni Tshs 1900+ karibia Tshs 2000/.

Hilo nimelithibitisha siyo kuambiwa au kusimuliwa.
 
Duh wanangu mnatumia simbanking gn hy inayowakata pesa mkiangalia salio, mm cjawah kukatwa hata 10 nikiangalia salio huko, laiti simbanking ingekuwa inaruhusu screenshot nngewaonyesha kabla na baada ya kuangalia salio langu.
 
Wewe unatumia simbanking ya wapi?
Mbona nimescreeshot hapa…!?
Acha uongo bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…