Nidanganye ili iweje.?Wewe unatumia simbanking ya wapi?
Mbona nimescreeshot hapa…!?
Acha uongo bhanaView attachment 2889954
Au unatumia App?
Ndio n appAu unatumia App?
Ndio maana mnaongea lugha mbili tofauti,Ndio n app
Bc yeye anayelazimisha CRDB mobile iwe simbanking.Ndio maana mnaongea lugha mbili tofauti,
Mwenzako anazungumzia CRDB mobile, yaani Ile ya kupitia Menu ya simu, *150*03# wewe
Unazungumzia App, ambayo kweli hawakati chochote ukiangalia salio lakini pia haikubali screenshoot.
Lakini pia kuna akaunti ndogo ambazo hazina makato ya mwezi.
Kiukweli Mimi wanakata tena! Lile jicho lao sitaki hata kuligusa! Nawalaani sana CRDB ukiacha pesa elfu kumi au Ishirini wanatembea nayo! Sijui wakoje hawa jamaa!Duh wanangu mnatumia simbanking gn hy inayowakata pesa mkiangalia salio, mm cjawah kukatwa hata 10 nikiangalia salio huko, laiti simbanking ingekuwa inaruhusu screenshot nngewaonyesha kabla na baada ya kuangalia salio langu.
Mkuu nazungumzia Application yao ya CRDB ambayo wanaita SimBanking kwangu wanakata 1900+ kucheki Salio! Yàani kile kijicho nikibofya tu kucheki Salio wanakata, inaonesha Pesa iliyopo na kiasi Halisi! Kiukweli ni wizi na utapeli wanafanya.Ndio maana mnaongea lugha mbili tofauti,
Mwenzako anazungumzia CRDB mobile, yaani Ile ya kupitia Menu ya simu, *150*03# wewe
Unazungumzia App, ambayo kweli hawakati chochote ukiangalia salio lakini pia haikubali screenshoot.
Lakini pia kuna akaunti ndogo ambazo hazina makato ya mwezi.
Kuangalia salio hua nafanya for fun kuangalia ruzuku yangu iliyopo 😎 halafu Ety Nimeambiwa kuwa akaunti ndogo hua hawakati pesa za kila mwezi, nashukuru Mungu kwa hilo japokuwa nlkuwa sijui hilo 😂Kiukweli Mimi wanakata tena! Lile jicho lao sitaki hata kuligusa! Nawalaani sana CRDB ukiacha pesa elfu kumi au Ishirini wanatembea nayo! Sijui wakoje hawa jamaa!
NMB kiukweli siwapigii Debe ila ukiachana na kero Yao ya Foloni HUDUMA zingine wako Vizuri.
Sasa bc acha ubishi, mm naangalia salio na sijawahi kukatwa ht 10 na pesa za kila mwezi sijawahi kukatwa tangu nimeanza kutumia simbankingMkuu nazungumzia Application yao ya CRDB ambayo wanaita SimBanking kwangu wanakata 1900+ kucheki Salio! Yàani kile kijicho nikibofya tu kucheki Salio wananipa Pesa iliyopo na kiasi Halisi! Kiukweli ni wizi na utapeli wanafanya.
khaaa hio kali,Mkuu nazungumzia Application yao ya CRDB ambayo wanaita SimBanking kwangu wanakata 1900+ kucheki Salio! Yàani kile kijicho nikibofya tu kucheki Salio wanakata, inaonesha Pesa iliyopo na kiasi Halisi! Kiukweli ni wizi na utapeli wanafanya.
Nahisi tofauti yenu ipo hapa,Sasa bc acha ubishi, mm naangalia salio na sijawahi kukatwa ht 10 na pesa za kila mwezi sijawahi kukatwa tangu nimeanza kutumia simbanking
Najiunga vipi na hii huduma?Ndg yangu kama una huduma ya internet banking angalia salio lako free kisha mwambie kiasi cha kutoa.
Nmb ukitumia app yao ile unaingiA tu wanalamba 3500/=Hapo kwa gharama ulizoandika SimBanking siyo kweli!
CRDB huduma ya SimBanking wanatoza gharama kubwa sana kuangalia salio ni Tshs 1900+ karibia Tshs 2000/.
Hilo nimelithibitisha siyo kuambiwa au kusimuliwa.
Yangu n hy ya kwanza kabisa hapo juu na ipo updated.khaaa hio kali,
Nahisi tofauti yenu ipo hapa, View attachment 2890348
Ndio maana mwingine anaweza kupiga screenshoot mwingine hawezi,
Kama sivyo ni kwenye update/version.
Japo nijuavyo hizi apps usipo update tuu haifunguki.
Jina la ACC yako?Mkuu CONTRARIAN naomba unieleweshe khs akaunti ndogo ambazo umesema hazikatwi pesa za kila mwezi mana kwa maana hy akaunti yangu ni ndogo
kwahy inamaana Mm sitokaa nikatwe pesa yeyote hata nikiwa na 100M kwenye akaunti yangu.? Au hii akaunti ina masharti gani.?
Mana watu wengi hua wanashangaa na hawaamini kuwa akaunti yangu haijawahi kukatwa pesa za kila mwezi.
Card yangu imeandikwa visa tembocard classic debitJina la ACC yako?
Maana kuna account kama 6 ambazo hazina makato.
Unaitumia kwenye mshahara wa kiserikali?