Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

Wewe unatumia simbanking ya wapi?
Mbona nimescreeshot hapa…!?
Acha uongo bhanaView attachment 2889954
Nidanganye ili iweje.?
Hii hapa screenshot yangu

Ukiangalia hapo chini utaona screenshot yangu imekuwa disabled by your admin
Screenshot_20240131-184014.png

Anyway, labla app yangu ni special sana mana ht sijawahi kukatwa pesa ya kila mwezi na pesa za kuangalia salio kama wengine wanavyodai.
 
Ndio n app
Ndio maana mnaongea lugha mbili tofauti,
Mwenzako anazungumzia CRDB mobile, yaani Ile ya kupitia Menu ya simu, *150*03# wewe
Unazungumzia App, ambayo kweli hawakati chochote ukiangalia salio lakini pia haikubali screenshoot.

Lakini pia kuna akaunti ndogo ambazo hazina makato ya mwezi.
 
Bc yeye anayelazimisha CRDB mobile iwe simbanking.

Anyway, kumbe akaunti ndogo hua hazina makato ya mwezi 😂 bc akaunti yangu ni ndogo ndio mana sijawahi kukatwa pesa za mwezi
 
Duh wanangu mnatumia simbanking gn hy inayowakata pesa mkiangalia salio, mm cjawah kukatwa hata 10 nikiangalia salio huko, laiti simbanking ingekuwa inaruhusu screenshot nngewaonyesha kabla na baada ya kuangalia salio langu.
Kiukweli Mimi wanakata tena! Lile jicho lao sitaki hata kuligusa! Nawalaani sana CRDB ukiacha pesa elfu kumi au Ishirini wanatembea nayo! Sijui wakoje hawa jamaa!
NMB kiukweli siwapigii Debe ila ukiachana na kero Yao ya Foloni HUDUMA zingine wako Vizuri.
 
Ndio maana mnaongea lugha mbili tofauti,
Mwenzako anazungumzia CRDB mobile, yaani Ile ya kupitia Menu ya simu, *150*03# wewe
Unazungumzia App, ambayo kweli hawakati chochote ukiangalia salio lakini pia haikubali screenshoot.

Lakini pia kuna akaunti ndogo ambazo hazina makato ya mwezi.
Mkuu nazungumzia Application yao ya CRDB ambayo wanaita SimBanking kwangu wanakata 1900+ kucheki Salio! Yàani kile kijicho nikibofya tu kucheki Salio wanakata, inaonesha Pesa iliyopo na kiasi Halisi! Kiukweli ni wizi na utapeli wanafanya.
 
Kiukweli Mimi wanakata tena! Lile jicho lao sitaki hata kuligusa! Nawalaani sana CRDB ukiacha pesa elfu kumi au Ishirini wanatembea nayo! Sijui wakoje hawa jamaa!
NMB kiukweli siwapigii Debe ila ukiachana na kero Yao ya Foloni HUDUMA zingine wako Vizuri.
Kuangalia salio hua nafanya for fun kuangalia ruzuku yangu iliyopo 😎 halafu Ety Nimeambiwa kuwa akaunti ndogo hua hawakati pesa za kila mwezi, nashukuru Mungu kwa hilo japokuwa nlkuwa sijui hilo 😂
 
Mkuu nazungumzia Application yao ya CRDB ambayo wanaita SimBanking kwangu wanakata 1900+ kucheki Salio! Yàani kile kijicho nikibofya tu kucheki Salio wananipa Pesa iliyopo na kiasi Halisi! Kiukweli ni wizi na utapeli wanafanya.
Sasa bc acha ubishi, mm naangalia salio na sijawahi kukatwa ht 10 na pesa za kila mwezi sijawahi kukatwa tangu nimeanza kutumia simbanking
 
Mkuu nazungumzia Application yao ya CRDB ambayo wanaita SimBanking kwangu wanakata 1900+ kucheki Salio! Yàani kile kijicho nikibofya tu kucheki Salio wanakata, inaonesha Pesa iliyopo na kiasi Halisi! Kiukweli ni wizi na utapeli wanafanya.
khaaa hio kali,

Sasa bc acha ubishi, mm naangalia salio na sijawahi kukatwa ht 10 na pesa za kila mwezi sijawahi kukatwa tangu nimeanza kutumia simbanking
Nahisi tofauti yenu ipo hapa,
Screenshot_20240201_014419_Google Play Store.jpg

Ndio maana mwingine anaweza kupiga screenshoot mwingine hawezi,
Kama sivyo ni kwenye update/version.
Japo nijuavyo hizi apps usipo update tuu haifunguki.
 
khaaa hio kali,

Nahisi tofauti yenu ipo hapa, View attachment 2890348
Ndio maana mwingine anaweza kupiga screenshoot mwingine hawezi,
Kama sivyo ni kwenye update/version.
Japo nijuavyo hizi apps usipo update tuu haifunguki.
Yangu n hy ya kwanza kabisa hapo juu na ipo updated.

Yn nikisikia watu wanakatwa wakiangalia salio kwenye simbanking hua nashangaa sana 😂

Na nikisikia watu wanakatwa pesa za kila mwezi hua nashangaa zaidi huku naogopa mana isije ikawa kumbe akaunti yangu haifahamiki huko kwenye system zao mwisho wa siku wakasepa na muamala wangu wakija kupiga hesabu za jumla nilizoangalia salio + makato yao ya mwezi 😂
 
Mkuu CONTRARIAN naomba unieleweshe khs akaunti ndogo ambazo umesema hazikatwi pesa za kila mwezi mana kwa maana hy akaunti yangu ni ndogo

kwahy inamaana Mm sitokaa nikatwe pesa yeyote hata nikiwa na 100M kwenye akaunti yangu.? Au hii akaunti ina masharti gani.?

Mana watu wengi hua wanashangaa na hawaamini kuwa akaunti yangu haijawahi kukatwa pesa za kila mwezi.
 
Jina la ACC yako?
Maana kuna account kama 6 ambazo hazina makato.
Unaitumia kwenye mshahara wa kiserikali?
 
Card yangu imeandikwa visa tembocard classic debit

Mm sio muajiriwa wa serikali, na wala sina mshahara wowote unaopitia hapo ila kuna jambo langu nataka kulikamilisha mwaka huu hvy hua najiwekea hapo hy akiba yangu.
 
Back
Top Bottom