Tofauti ya kuoa au kuolewa na sogea tukae

Tofauti ya kuoa au kuolewa na sogea tukae

Sogea tukae ni njia salama ya kumiliki mke wakati mnachunguzana tabia , ikishindikana mnaachana bila makelele, hii ya kuingia kwenye ndoa mzima mzima mambo yakibana inakuwa changamoto
Sogea tukae isizidi mwaka , ili msipotezeane muda ,
Sawa mkuu je!

Wale wanao zidisha kipindi cha mwaka mmoja mpaka kufikia kuzaa pamoja mana yake wapo kinyume na sheria kwa mujibu wa maelezo yako?
 
Sawa mkuu je!

Wale wanao zidisha kipindi cha mwaka mmoja mpaka kufikia kuzaa pamoja mana yake wapo kinyume na sheria kwa mujibu wa maelezo yako?
Sizungumzii kisheria mkuu
Nadhani sheria inamtambua mwenza wako mkikaa zaidi ya siku 90.,

Haya mambo ya sogea tukae yapo toka miaka ya nyuma , tunacho shauri tu ni ' how to do it wisely' , kama hujamuelewa mtu ni bora kutompotezea muda wake.
 
Sawa mkuu lakini hii hipo kinyume na sheria hata ukishika ugoni mkeo analiwa jamaa likasema muende mahakamani mana huyo si mkeo kisheria auna cha kulifanya jamaa kwa maelezo yako[emoji3]

Maana mahakama itaomba udhibitisho (cheti cha ndoa)
 
Beki 3 tu mzee hamna namna, kama washua wapo around tunapeleka kwa babu
Sawa mkuu na ndio maana napendaga kjifunza sana nizidi kujua maana kuna mambo vijana wengi wanafanya wanajiona wapo sawa kumbe ni kinyume na sheria yaani hii sogea tukae kuna watu wanalizwa kijinga

demu linaliwa nje na mahari amelilipia siku jamaa analishika ugoni anashindwa ata kudai mahari yake kwa mgoni wake kwasababu si mke halari kisheria kesi ikifika mahakamani udhibitisho hakuna.

yaani ndoa ni jambo kubwa ndio maana watu wanatunukiwa cheti
(udhibitisho)halari
 
Yah ndoa ni muhimu sana mzee! Hata ya kubariki tu upewe cheti
 
Sawa mkuu lakini hii hipo kinyume na sheria hata ukishika ugoni mkeo analiwa jamaa likasema muende mahakamani mana huyo si mkeo kisheria auna cha kulifanya jamaa kwa maelezo yako[emoji3]

Maana mahakama itaomba udhibitisho (cheti cha ndoa)
Jamii ipo na iliwaona mkiishi kama mke na mme itathibitisha hilo. Na kwenye swala la kushika mtu ugoni ni bora mmalizane huko huko lakin mkienda mahakaman akisema kuwa alikuwa hajui kama huyo mwanamke kaolewa maana mda ananza nae mahusiano alimwambia ajaolewa juwa had hapo atakuwa hana hatia
 
Ndo ujiulize
Hutaratibu wa vyeti uliletwa na watu weupe.

Sisi africa tulikua na taratibu zetu hapo awali kila jamii ilijiwekea kanuni na sheria zake ni namna gani ndoa iwe halari. lakini baada ya kuja watu weupe likaleta swala la sheria za nchi ambapo zinalenga kufatwa na watu wote wa jamuhuri ya muungano wa tanzania mpaka sasa .

Kwa maana hiyo zile kanuni zilizo tumika kwenye jamii yetu ya africa kabla ya ujio wa watu weupe zilikoma pale tu white people's walipo tuanzishia kanuni zao ambazo tunatumia mpaka sasa

kwa mantiki hiyo hatuna budi kufata sheria za nchi.
 
Jamii ipo na iliwaona mkiishi kama mke na mme itathibitisha hilo. Na kwenye swala la kushika mtu ugoni ni bora mmalizane huko huko lakin mkienda mahakaman akisema kuwa alikuwa hajui kama huyo mwanamke kaolewa maana mda ananza nae mahusiano alimwambia ajaolewa juwa had hapo atakuwa hana hatia
Mkuu kama unaishi nae kinyemera siku akiliwa nje ukamfuma kama mgoni wako ni mbabe halafu anajua sheria hauna cha kumfanya asee
 
Mkuu kama unaishi nae kinyemera siku akiliwa nje ukamfuma kama mgoni wako ni mbabe halafu anajua sheria hauna cha kumfanya asee
Chakumfanya kipo watakachoangalia mda mlioishi wote kama wanandoa na ushahidi wa watu(jamii) waliokuwa wanaishi mazingira mliokuwa mnaishi
 
Labda sijaelewa ndio mana nikaleta huu mjadala tuzungumze hili watu ambao hatufahamu tupate kujua kutoka kwenu mnao fahamu
Mkuu, kisheria mkiishi kama mke na mume na jamii inayowazunguka ikatambua hivyo na mkaishi hivyo kwa zaidi ya miaka miwili basi itatafsirika kuwa nyinyi ni wanandoa sawa na tafsiri watakayokua nayo wale waliofunga ndoa kanisani, msikitini ama bomani.
Sasa hapo mnapata haki na wajibu wooote unaowahusu wanandoa ila mkiamua kila mmoja achukue time ndio kutatokea utofauti kidooogo baina yenu karibu tuishi na wale waliofunga ndoa.
Kwa upande wa wale waliofunga ndoa watapatiwa HATI YA TALAKA na wale waliokua wakiishi under 'presumtion of marriage' yaanisogea tuishi watapatiwa hukumu yao ya HATI YA KUTENGANA.

Na baada ya hapo kama kuna mai iliyochumwa pamoja utaratibu ule ule uliozoeleka wa kugawanya mali kwa wanandoa wanaoachana utatumika kwa pande zote. Hivyo hakuna dhurma yoyote itakayotokea.
 
Back
Top Bottom