luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
- Thread starter
-
- #41
Sawa mkuu na je! aijalishi wameishi pamoja kwa muda gani?Sogea tukae ni 'Uzinzi Sugu' ...na Siku mkizinguana hakuna sehemu 'eti' Mahakama itaitambua kuwa ni Ndoa halali
Sawa mkuu je!Sogea tukae ni njia salama ya kumiliki mke wakati mnachunguzana tabia , ikishindikana mnaachana bila makelele, hii ya kuingia kwenye ndoa mzima mzima mambo yakibana inakuwa changamoto
Sogea tukae isizidi mwaka , ili msipotezeane muda ,
Mkuu unajua ndoa za kiserikali zina fungishwa na nani?Tangu lini hakimu anathibitisha ndoa?
Sizungumzii kisheria mkuuSawa mkuu je!
Wale wanao zidisha kipindi cha mwaka mmoja mpaka kufikia kuzaa pamoja mana yake wapo kinyume na sheria kwa mujibu wa maelezo yako?
mkuu sasa fikiria mmesha zaa na watoto una mfukuza huyo malaya halafu wanao nani anakutunzia ukiwa job?Mie siwezi shika ugoni mtu na hata ikitokea nafukuza malaya huyo
Beki 3 tu mzee hamna namna, kama washua wapo around tunapeleka kwa babumkuu sasa fikiria mmesha zaa na watoto una mfukuza huyo malaya halafu wanao nani anakutunzia ukiwa job?
Sawa mkuu lakini hii hipo kinyume na sheria hata ukishika ugoni mkeo analiwa jamaa likasema muende mahakamani mana huyo si mkeo kisheria auna cha kulifanya jamaa kwa maelezo yako[emoji3]Sizungumzii kisheria mkuu
Nadhani sheria inamtambua mwenza wako mkikaa zaidi ya siku 90.,
Haya mambo ya sogea tukae yapo toka miaka ya nyuma , tunacho shauri tu ni ' how to do it wisely' , kama hujamuelewa mtu ni bora kutompotezea muda wake.
Tufahamishe mkuuhakuna kitu kama hicho, kasome kitu kinachoitwa "presumption of marriage" kwa kiswahili "Dhanio la ndoa"
Ndo ujiulizeKwani kabla ya vyeti ilikuwaje
Sawa mkuu na ndio maana napendaga kjifunza sana nizidi kujua maana kuna mambo vijana wengi wanafanya wanajiona wapo sawa kumbe ni kinyume na sheria yaani hii sogea tukae kuna watu wanalizwa kijingaBeki 3 tu mzee hamna namna, kama washua wapo around tunapeleka kwa babu
Yah ndoa ni muhimu sana mzee! Hata ya kubariki tu upewe chetiSawa mkuu na ndio maana napendaga kjifunza sana nizidi kujua maana kuna mambo vijana wengi wanafanya wanajiona wapo sawa kumbe ni kinyume na sheria yaani hii sogea tukae kuna watu wanalizwa kijinga
demu linaliwa nje na mahari amelilipia siku jamaa analishika ugoni anashindwa ata kudai mahari yake kwa mgoni wake kwasababu si mke halari kisheria kesi ikifika mahakamani udhibitisho hakuna.
yaani ndoa ni jambo kubwa ndio maana watu wanatunukiwa cheti
(udhibitisho)halari
Jamii ipo na iliwaona mkiishi kama mke na mme itathibitisha hilo. Na kwenye swala la kushika mtu ugoni ni bora mmalizane huko huko lakin mkienda mahakaman akisema kuwa alikuwa hajui kama huyo mwanamke kaolewa maana mda ananza nae mahusiano alimwambia ajaolewa juwa had hapo atakuwa hana hatiaSawa mkuu lakini hii hipo kinyume na sheria hata ukishika ugoni mkeo analiwa jamaa likasema muende mahakamani mana huyo si mkeo kisheria auna cha kulifanya jamaa kwa maelezo yako[emoji3]
Maana mahakama itaomba udhibitisho (cheti cha ndoa)
Hutaratibu wa vyeti uliletwa na watu weupe.Ndo ujiulize
sana mkuuYah ndoa ni muhimu sana mzee! Hata ya kubariki tu upewe cheti
Mkuu kama unaishi nae kinyemera siku akiliwa nje ukamfuma kama mgoni wako ni mbabe halafu anajua sheria hauna cha kumfanya aseeJamii ipo na iliwaona mkiishi kama mke na mme itathibitisha hilo. Na kwenye swala la kushika mtu ugoni ni bora mmalizane huko huko lakin mkienda mahakaman akisema kuwa alikuwa hajui kama huyo mwanamke kaolewa maana mda ananza nae mahusiano alimwambia ajaolewa juwa had hapo atakuwa hana hatia
Mkuu kama unaishi nae kinyemera siku akiliwa nje ukamfuma kama mgoni wako ni mbabe halafu anajua sheria hauna cha kumfanya asee
Chakumfanya kipo watakachoangalia mda mlioishi wote kama wanandoa na ushahidi wa watu(jamii) waliokuwa wanaishi mazingira mliokuwa mnaishiMkuu kama unaishi nae kinyemera siku akiliwa nje ukamfuma kama mgoni wako ni mbabe halafu anajua sheria hauna cha kumfanya asee
Big no. Marriage is not about dowry & it can't be seen invalidity/validity because of dowry.je akitoa mahari huo ndio udhibitisho unao tambulika kisheria?
Presumption of marriage ni 2 years convectivelynaelewa mkuu ni baada ya miezi miwili lakini kiserikali lazima idhibitishwe
Mkuu, kisheria mkiishi kama mke na mume na jamii inayowazunguka ikatambua hivyo na mkaishi hivyo kwa zaidi ya miaka miwili basi itatafsirika kuwa nyinyi ni wanandoa sawa na tafsiri watakayokua nayo wale waliofunga ndoa kanisani, msikitini ama bomani.Labda sijaelewa ndio mana nikaleta huu mjadala tuzungumze hili watu ambao hatufahamu tupate kujua kutoka kwenu mnao fahamu