Tofauti ya kuoa au kuolewa na sogea tukae

mkuu una uhakika?
 
Mkuu haipo hivo. hivi unajua sheria inatambua aina ngapi za ndoa?

na awa wa sogea tukae wamefunnga ndoa hipi ambayo sheria inaitambua?

Mkuu kimsingi sogea tukae sio ndoa japo inamlinda mwanamke na watoto kwenye ugawaji mali .
 
Mkuu naomba soma tena andiko langu, nimezungumzia haki ya kutambuliwa chini ya 'presumption of marriage' na pia haki ya kugawana walivyochuma pamoja
 
Sawa mkuu lakini hii hipo kinyume na sheria hata ukishika ugoni mkeo analiwa jamaa likasema muende mahakamani mana huyo si mkeo kisheria auna cha kulifanya jamaa kwa maelezo yako[emoji3]

Maana mahakama itaomba udhibitisho (cheti cha ndoa)
Mambo ya ugoni ni magumu hata ukiwa na ndoa yako, ni kuomba tu yasikukute ,lkn si ati yakukute upambane
Omba sana yasikukute, nothing else
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…