Tofauti ya limao na ndimu ni ipi?

Ambayo huwa nafikiria ni malimao mara nyingi tu naona watu wanaita ndimu na zile ambazo huwa nafikiri ni ndimu huwa naona watu wanaita malimao tena! Inakuwa mvurugano sasa😁
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Wewe bana.
 

fafanua hapo kwenye mono na dicotyledon
 
Kwenye 'class' nahisi kama ni 'kamba', mti uwe 'mono' labda kama unaongelea mnazi!

Kuna point niliitaka lakini nayo umeibaraza, haujaisaga ikalainika: ... 'Ndimu has acidic while limao has? in nature!... so has what kijana?

Usiponiridhisha kwa majibu ya kisayansi itabidi nipekue pamphlets mwenyewe sasa!

Na siku hizi tumerahisishiwa ukiigusa tu AI (chat gpt) umeula, inatiririka kuliko hata mwalimu, siwezi kosa jibu la uhakika.
 
Prof juma kapuya,the botanist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…