UOVU uliofanyika miji ya Dodoma na gomora enzi zile Pana tofauti?
Heading inasoma Dodoma au sodoma?Dodoma ya wapi????
Ulikuwepo wakati wa Sodoma na Gomora ili uje utupe ulinganifu?Salaam, shalom!!
Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani, na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la LA na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora enzi zile Pana tofauti?
Moto unaendelea kuchoma mji Ule , haujulikani chanzo chake Hadi sasa!
Tukisema kikombe Cha ghadhabu ya HUKUMU Kwa mji huo kimejaa hivyo kujiliwa na adhabu Toka juu ni sahihi?
Karibuni 🙏
Rudia kusoma!Hujui hata kuandika dodoma iliwaka lini?
Ila sodoma walizidi,Ulikuwepo wakati wa Sodoma na Gomora ili uje utupe ulinganifu?
Ulikuwepo huko Sodoma?Ila sodoma walizidi,
Mji mzima ukusanyike wazee Kwa vijana kutaka kuwatenda Hila wageni ambao ni Malaika?🤔
Bima wameona HASARA hiyo hailipiki, wameingiza mitini.Sodoma na Gomora walikufa watu wote pamoja na mali zao. Huko California na Hollywood wameishakufa wote? Kama bado, basi usipende kumlinganisha Mungu wa Kweli na Allah!
Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute,Ulikuwepo huko Sodoma?
Mfano kampuni gani iliyoingia mitini niigugu?Bima wameona HASARA hiyo hailipiki, wameingiza mitini.
Inabidi ssh apeleke misaada kdg huko Kwa matajiri.
Salaam, shalom!!
Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani, na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la LA na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora enzi zile Pana tofauti?
Moto unaendelea kuchoma mji Ule , haujulikani chanzo chake Hadi sasa!
Tukisema kikombe Cha ghadhabu ya HUKUMU Kwa mji huo kimejaa hivyo kujiliwa na adhabu Toka juu ni sahihi?
Karibuni 🙏
Kuna sunami iliyochangyika na moto itazikumba Nchi mbalimbali zenye pwani watendao UOVU kwenye fukwe,Thailand iko kama Sodoma na Gomorra kuliko hata huko USA...
Wazungu Wengi wanaenda Thailand Kwa ajili ya ngono na ma lady boys zaidi...
Badala ya kujadili hoja unakuja na vihoja!Dodoma ya wapi????
Una nyumba LA?Mfano kampuni gani iliyoingia mitini niigugu?
Ni mambo ya kufikilika tuUlikuwepo huko Sodoma?