Tofauti ya Los Angeles, Hollywood na Sodoma na gomora ipo wapi?

Tofauti ya Los Angeles, Hollywood na Sodoma na gomora ipo wapi?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, shalom!!

Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani , na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la Los Angeles na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora enzi zile Pana tofauti?

Moto unaendelea kuchoma mji Ule , haujulikani chanzo chake Hadi sasa!

Majiji mbalimbali yameendelea kutembelewa Kwa mafuriko, matetemeko, sunami, moto nk nk

Tukisema kikombe Cha ghadhabu ya HUKUMU Kwa mji huo kimejaa hivyo kujiliwa na adhabu Toka juu ni sahihi?

Karibuni 🙏
 
Salaam, shalom!!

Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani, na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la LA na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora enzi zile Pana tofauti?

Moto unaendelea kuchoma mji Ule , haujulikani chanzo chake Hadi sasa!

Tukisema kikombe Cha ghadhabu ya HUKUMU Kwa mji huo kimejaa hivyo kujiliwa na adhabu Toka juu ni sahihi?

Karibuni 🙏
Ulikuwepo wakati wa Sodoma na Gomora ili uje utupe ulinganifu?
 
Sodoma na Gomora walikufa watu wote pamoja na mali zao. Huko California na Hollywood wameishakufa wote? Kama bado, basi usipende kumlinganisha Mungu wa Kweli na Allah!
Bima wameona HASARA hiyo hailipiki, wameingiza mitini.

Inabidi ssh apeleke misaada kdg huko Kwa matajiri.
 
Uongo.... LA hakuna aliyekufa.
Someni biblia
Salaam, shalom!!

Kwa Hali ilivyo ya UOVU katika miji Mikubwa duniani, na UOVU unaofanyika katika Kijiji kile mlimani ndani ya Jiji la LA na UOVU uliofanyika miji ya sodoma na gomora enzi zile Pana tofauti?

Moto unaendelea kuchoma mji Ule , haujulikani chanzo chake Hadi sasa!

Tukisema kikombe Cha ghadhabu ya HUKUMU Kwa mji huo kimejaa hivyo kujiliwa na adhabu Toka juu ni sahihi?

Karibuni 🙏
 
Thailand iko kama Sodoma na Gomorra kuliko hata huko USA...

Wazungu Wengi wanaenda Thailand Kwa ajili ya ngono na ma lady boys zaidi...
Kuna sunami iliyochangyika na moto itazikumba Nchi mbalimbali zenye pwani watendao UOVU kwenye fukwe,

Nchi mojawapo IPO EA.

Tuache UOVU.
 
Back
Top Bottom