and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Ili kumtambua Nani Kati ya Mwandamanaji Vs Mpigakura?Watataka vitambulisho vya mpiga kura
Kila mpiga kura lazima atakuwa na kitambulishoIli kumtambua Nani Kati ya Mwandamanaji Vs Mpigakura?
Unajua siku ya kupiga Kura hutakiwi kuvaa uniform ya Chama chochote. Ukiinekana hivyo wewe si mpiga Kura ni muandamanajiUnauvuruga unauvuruga Tena😁.
Kamakawa Vaa Shati ya CCM na kofia iwe Njano Kali....baada ya hapo twende mzigoni.
Ni mwendo wa kuchanganyana tu.
Ambacho Muandamanaji hana?Kila mpiga kura lazima atakuwa na kitambulisho
Ila akili zako 😆, kwan waandamanaji hawatakuwa na vitambulisho? Kwamba ni bangi watavificha ila vya hao wengine ni fegi!Kila mpiga kura lazima atakuwa na kitambulisho
Nguo na bendera za vyama vya siasa haziruhusiwi siku ya uchaguzi.Unauvuruga unauvuruga Tena😁.
Kamakawa Vaa Shati ya CCM na kofia iwe Njano Kali....baada ya hapo twende mzigoni.
Ni mwendo wa kuchanganyana tu.
Kwani maandamano haya yana chama?Unajua siku ya kupiga Kura hutakiwi kuvaa uniform ya Chama chochote. Ukiinekana hivyo wewe si mpiga Kura ni muandamanaji
HayanaKwani maandamano haya yana chama?
Wachina wajiandae kuuza miguu bandiaNi ngumu sana kuwatofautisha kama ni wino ktk kidole ata muandamanaji atapaka kama kitambulisho atakuwa nacho inshort itakuwa ni mixx by yass
Wewe siku hiyo utakuwa wapi?Mpiga kura anaenda kituo cha kupiga kura peke yake anapiga kura na kurudi Nyumbani.
Waandamanaji wanakaa kwenye makundi , wanatembea kwa makundi, na Kwasababu wanaoandamana ni Nyumbu lazima matukio ya kinyumbu kama kuchoma matairi na kuzuia njia yatakuwepo hiyo ndo tofauti
Ni ruksaVp kwa ambaye anataka kupiga kura na anataka maandamano?
Ntakua Dubai nakula kodi yakoWewe siku hiyo utakuwa wapi?
We ni mke wa AbduliNtakua Dubai nakula kodi yako