GE2025 Tofauti ya Mpiga Kura Vs Muandamanaji tarehe 29/10 ni ipi?

GE2025 Tofauti ya Mpiga Kura Vs Muandamanaji tarehe 29/10 ni ipi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni ngumu sana kuwatofautisha kama ni wino ktk kidole ata muandamanaji atapaka kama kitambulisho atakuwa nacho inshort itakuwa ni mixx by yass
Maandamano si mtu mmoja mmoja ni kundi la watu wanaoshinikiza jambo. Ukiwaona waandamanaji hutawatambua?
 
Mpiga kura anaenda kituo cha kupiga kura peke yake anapiga kura na kurudi Nyumbani.

Waandamanaji wanakaa kwenye makundi , wanatembea kwa makundi, na Kwasababu wanaoandamana ni Nyumbu lazima matukio ya kinyumbu kama kuchoma matairi na kuzuia njia yatakuwepo hiyo ndo tofauti

Sasa kama unaweza kuandamana peke yako bila kelele bila kuzuia njia bila kubeba mabango ili usijulikane unaandamana fanya hivyo na hayo ndo maandamano yanayoruhusiwa
Wewe ni polisi?
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Wapiga kura watakuwa wote wana mashati ya kijani maana mgombea ni mmoja na chama ni kimoja watachagua tu picha inayowavutia ndio "watiki" waandamanaji na wasiokwenda kupiga kura ya kiinimacho ya chama kimoja katika mfumo wa vyama vingi kwenye karatasi watavaa tofauti
IMG-20250831-WA0001.jpg
 
Ushauri
Wapiga kura wanatakiwa kujitofautisha na wanaorandaranda. Watu ambao wapo tu mtaani wanatakiwa kuj8tofaitisha na wanaorandaranda
Watu wenye kutembea makundimakundi siku hii wajitahidi kuwa mmojammoja.
Ikiwezekana wapiga kura wawe na sare kulingana na chama chake🧞‍♂️ ili wasio na sare ndio wawe wenye mambo yao
 
Back
Top Bottom