sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
1. Mwanaume akifurahishwa na mchepuko, mara nyingi hakuna mabadiliko kwa mwandani wake. Inakuwa kawaida tu.
2. Mwanamke akifurahishwa na mchepuko, anazidisha furaha nyumbani na ana act unusual, too existed, extra caring and unnecessary story. Remember: few professional cheaters acts normal.
3. Mwanaume akivurugwa na mchepuko nje/akipigwa matukio, anarudisha majeshi kwa mke, anaonesha mapenzi zaidi na anajisemea "Bora tu nitulie na mke/mpenzi wangu huyu, mana hakuna faida yoyote."
4. Mwanamke akivurugwa na mchepuko, analeta majonzi hadi kwa mwenza wake, anakua na hasira, anakosa furaha, ingawa atajitahidi ku act normal. Mchepuko ukikita mizizi sana unakuwa ndio unaamua hali ya hewa nyumbani.
Au nadanganya ndugu zangu?