Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Kukataa hadithi kuna karibiana zaidi na Kukataa Uislamu na ibada zake nyingi ,niambie wapi kama sio hadithi wametoa maelezo maneno yanatamkwa kwenye swala kuwa ukiwa kwenye Tahyatu useme hivi nk ?
Hawa ndo wale wanofungua mpaka uingie usiku kabisaa ni wajinga mno hawa watu
 
Unapotosha..
 
Unatoa maelezo mazuri Ila hiyo avatar yako ni kichefuchefu
 
Wewe ndo umetoa muelekeo mzuri na jibu la swali.
 
Acha ujinga ww uko ulipo wapotoshwa na tutakupigeni Raddi mpk umma wote wajue kua Uislamu ni Qur-an na Sunnah
Mbona mikwara mingi sheikh? Mueleze vizuri bila kutumia maneno makali.
 
Na ni vuguvugu la kisiasa lililoanza baada ya kuangushwa kwa dola ya kimajusi(zolastrian) ikiitwa safawi,(safavid empire) hii dola ilikuwa na nguvu Sana katika dola kubwa zilizowahi kutawala ulimwengu huu ikiwa pamoja na dola ya kirumi(Byzantine Empire,) ikijulikana pia kwa jina la himaya ya kifursi(Persian Empire) kwa pamoja ndizo zilikuwa dola kubwa kipindi hicho
Baada ya Dola ya kiislam ya wakati huo chini ya Khalifa Abubakar Sidiq(Radhi'Allahu Anhu) wakati huo kuanza kutanua dola katika maeneo ya uajemi (extension to the new lands) ilibidi kwa nguvu ya uislam kipindi hicho ianze kudhoofika Kisha Umar na Uthmaan bin Affan(Radhi'Allahu anhuma) kuimaliza na kuifuta kabisa na ndio imekuwa sababu ya kuwalaani na kuwatusi kwa kule tu kuiangusha dola yao iliyokuwa kubwa kipindi hicho(Savanid/Persian Empire)

Hivyo ni kweli kuwa Shia ni vuguvugu la kisiasa la wasafawi(Savanid empire) kurudisha utawala wao uliowahi kuwa na nguvu duniani lakini kwa njia ya hila (Taqiyah) ya kujipachika uislam lakini lengo lao ni kurudisha himaya yao ya kisafawi na ndio utaona Iran ya Sasa ya kina Ayatollah inavyojiimarisha kwa kuingia Iraq,Jaziratul Arab na ulimwengu mwingine wa kiislam ili kuongeza ushawishi wake kwa ndoto ya kurudisha utawala wao wa kifursi ulioangushwa na dola ya kiislam.
 
Kila kundi Lina hadithi zake za mtume,ndiyo maana wengine hatutaki hadithi sababu ni uzushi wa wahuni kuwatoa waislam kwenye Qur'an, Bilal bin rabah alikua mweusi na miongoni mwa wa mwanzo kusilimu,lakini hakuna Hadith toka kwa Bilal bin rabah...
This point make sense Hadith mimi nitaunganisha na aya ila Kama haina aya yake hio ni kanjanja
 
Leta aya
 
H
kataa hadithi kuna karibiana zaidi na Kukataa Uislamu na ibada zake nyingi ,niambie wapi kama sio hadithi wametoa maelezo maneno yanatamkwa kwenye swala kuwa ukiwa kwenye Tahyatu useme hivi nk ?
Hadith ni wahyi gani!?..khalifa ummar alizipiga marufuku,mtu aliyeishi na mtume saw alizipiga marufuku,mtume hakuamuru ziandikwe,Hadith zimekusanywa miaka takriban 200 baadae na waajemi bukhari na Muslim,swala siyo lazima Tahyatu Kama Qur'an haielekezi hivyo
 
Mafundisho ya mtume ni Qur'an,mwanzo mmetaka nioneshe sala,Sasa mnataka Hajj...maana mkisema hata namna ya kutia udhu hakuna kwenye Qur'an,historia ya mtume ni kazaliwa Makkah kafia Madina,ni mwarabu,alimuoa bi Khadija,alifariki 633ad,haya unataka nini kwenye historia yake,kuoa,kuzaa!?..havipo kwenye Qur'an!?
 
Mtume hawezi toa wosia nje ya Qur'an,huo wosia uliotoa kila mtu ana wake,wengine wanasema wanasema Sunna na ahlul bayt,ama vitenguzi vya udhu vipo kwenye Qur'an Kama kuingiliana kimwili na wanawake na kwenda chooni,tatizo hamsomi
 
Hapo haimaanishi kila neno,ndiyo maana maswahaba walikua wakimuuliza huu ni wahyi au maoni yako,akisema 'nina njaa naombeni tende wake zangu' huo siyo wahyi
Swahaba gani alimuuliza Mtume S.A.W huu ni wahyi au maoni yako., Lete hem khadithi japo ya mstari mmoja.,, maana Quran ndio imeshuka hiyo kueleza kwa kila alichokifanya Mtume S.A.W
Ama kwa upande wa Qur'an aliacha imeandikwa,na haijalishi story za kiwaki kwamba ilikua haijakusanywa
Aliacha imeandikwa kwenye kitu gani fungua hemu vizuri., uislamu umekuja na dalili na kila kitu kipo wazi
QUR'AN 25:5
Na wakasema,hivi ni visa vya watu wa kale alivyoviandikisha,anavyosomewa asubuhi na jioni
 
Swahaba gani alimuuliza Mtume S.A.W huu ni wahyi au maoni yako., Lete hem khadithi japo ya mstari mmoja.,,

Aliacha imeandikwa kwenye kitu gani fungua hemu vizuri., uislamu umekuja na dalili na kila kitu kipo wazi
Palikua na makaratasi,asikwambie mjinga yeyote kwamba Qur'an iliandikwa kwenye mifupa,mawe sijui vitu gani
 
Palikua na makaratasi,asikwambie mjinga yeyote kwamba Qur'an iliandikwa kwenye mifupa,mawe sijui vitu gani
Quran kukusanywa kama masahafu ulivyo (leo) ukitoa makaratasi na vipande vya ngozi ambavyo vlikuwa mbali mbali ambapo Mtume S.A.W akimuamrisha muandishi aandike
 
Quran kukusanywa kama masahafu ulivyo (leo) ukitoa makaratasi na vipande vya ngozi ambavyo vlikuwa mbali mbali ambapo Mtume S.A.W akimuamrisha muandishi aandike
Haya unasema wewe,Qur'an 25:5 na Aya zingine hazisemi hivyo,Aya zinawapa changamoto(challenge) waliokua hawaamini Qur'an imetoka kwa Allah sw basi walete walau 'surah' moja waliyotunga wao ikiwa mtume anazua,kwa hiyo tangu mtume saw palikua na sura za Qur'an tofauti na upuuzi tunaambiwa ilikusanywa katika mfumo huu baada ya mtume kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…