Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Hawa ndo wale wanofungua mpaka uingie usiku kabisaa ni wajinga mno hawa watuKukataa hadithi kuna karibiana zaidi na Kukataa Uislamu na ibada zake nyingi ,niambie wapi kama sio hadithi wametoa maelezo maneno yanatamkwa kwenye swala kuwa ukiwa kwenye Tahyatu useme hivi nk ?