Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Naomba mjadala wetu tuishie hapa kama msahafu ulivyo leo ni upuuzi.,
Tumuombe Allah S.W.T atuongoze zaid na zaidi kuijua dini yetu Insh Allah. Amin
 
Aisee we chalii endelea na upotoshaji wako

Sasa nilikuomba zile aya si umeleta leta na hizi nyingine kma ww ni mkweli

Nina mashaka na Uislamu wako
 
Lakini unakubali kua Yesu alikua anakwenda chooni kukata gogo? (kunya).
Unakubali kua Yesu alikua anakula, tena mitonge mikubwa kinoma?

Kiufupi Yesu na mimi tofauti zetu ni zama tu, za kuishi hapa Duniani.
MWAMBIE YESU SIO MUNGU HATA HUO UBANDIA HAKUWA NAO PIA.
 
Sadala wetu tuishie hapa kama msahafu ulivyo leo ni upuuzi.,
Tumuombe Allah S.W.T atuongoze zaid na zaidi kuijua dini yetu Insh Allah. Amin
Soma na uelewe
 
Kuna mtu alinaimbiaga with technology hizi dini zitakujaumbuka na ndio tunachokiona sasa
 
a
li alinyimwa uongozi? mbona umemtaja hapo juu kwamba sunni wanakubali alikua kiongozi wao
 
alimkhini ndio umemaanisha nini kwa kiswahili
 
Waislamu wa Bakwata wanafuata Sunni au shia?
Lkn pia Kuna wale waislamu wanaoitwa answar Sunnah, wale wenye uhakika wa muandamo wa mwezi bila kkuona, wale wako pande zipi?
 
Waislamu wa Bakwata wanafuata Sunni au shia?
Lkn pia Kuna wale waislamu wanaoitwa answar Sunnah, wale wenye uhakika wa muandamo wa mwezi bila kkuona, wale wako pande zipi?
Bakwata ni Sunni sio Shia.
Pia hao Answar Sinnah nao ni Sunni.
Kiufupi kwa hapa Tanzania Sunni ndio wengi sana kuliko Shia.
 
Kama hujui kitu ni bora ukatulia tu, wenye kujua wakakujulisha.
Sio kujipitisha pitisha na kichupi mkononi.
Sasa Hasira na Matusi ya nini? Mnapenda sana mambo ya Chupi ndio maana yapo akilini mwako sio? [emoji23]
 
Waislamu wa Bakwata wanafuata Sunni au shia?
Lkn pia Kuna wale waislamu wanaoitwa answar Sunnah, wale wenye uhakika wa muandamo wa mwezi bila kkuona, wale wako pande zipi?
Answar Sunni sio ndio wanaofuata Sinna za Mtume Muhammad (S.A.W)

Bakwata wapo wanaofuata sunna na wengine hawafuati, wengi ni Shia

Hao Answar sana misikiti yao ila pia wanaweza kuswali ktk msikiti wowote na hali kadhalika hao Shia
 
Tofautisha kati ya dhebu la Sunni na Ansaar Sunni mkuu.

Ni vitu viwili tofauti
 
Niyya hakuwa khalifa wakati wa Alliy.
Alipoondoka Alliy muawiyya ndo akapewa ukhalifa.

Wafuasi wa hussein wakapinga
Muawiyah alikua gavana wa damashq(Damascus),alitakiwa kutoa baia(utambuzi/twaa') kwa ali,iliposhindikana baada ya mzozo damashq ikawa Dola yake na akawa khalifa badala ya gavana
 
Niyya hakuwa khalifa wakati wa Alliy.

Muawiyah alikua gavana wa damashq(Damascus),alitakiwa kutoa baia(utambuzi/twaa') kwa ali,iliposhindikana baada ya mzozo damashq ikawa Dola yake na akawa khalifa badala ya gavana
Ikawaje na Hussein ?

Ikawaje waislamu wakampa dola yote baada ya Alliy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…