5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Naomba mjadala wetu tuishie hapa kama msahafu ulivyo leo ni upuuzi.,Haya unasema wewe,Qur'an 25:5 na Aya zingine hazisemi hivyo,Aya zinawapa changamoto(challenge) waliokua hawaamini Qur'an imetoka kwa Allah sw basi walete walau 'surah' moja waliyotunga wao ikiwa mtume anazua,kwa hiyo tangu mtume saw palikua na sura za Qur'an tofauti na upuuzi tunaambiwa ilikusanywa katika mfumo huu baada ya mtume kuondoka
Tumuombe Allah S.W.T atuongoze zaid na zaidi kuijua dini yetu Insh Allah. Amin