Tofauti ya trector za kichina na hizi massey ferguson john deere.... ni ipi hasa!!

Hii thread imenifanya nikakumbuka trekta aina ya KUBOTA. Miaka 50 na bado inapiga kazi
 
mkuu unajua chuna , mwingereza ndo mtamu wa MF na inaweza piga kazi 24hrs bila shida kwa muda mrefu ila huyo mchina utamtumia ila ukimpigisha 24hrs hatochukua muda mrefu utaona oil inaanza kuvuja
 
nimekupata ndugu sas hizo john deere used nawaza kuzipata wapiii hapa hapa bongo??
yan inakua imetumia uk au wap mkuu
unaweza kupata toka UK pia kunawabongo husafirisha nakuja kuuza huku
 
mkuu inatagemea brand na model za trekta ila 50mil unapata MF nzuri kubwa jembe na trela lake

50mil mbn palefu mkuu me nilitegemea kweny about 20 mil.....!!
 
Hii thread imenifanya nikakumbuka trekta aina ya KUBOTA. Miaka 50 na bado inapiga kazi
Valmet nzovwe Mbeya kuna mangi mmoja alikua analitembeza km ferarri vile.
Full mikwaju ukiunga vumbi basi mzuka akianza kutafuna gia hapo anaelekea swaya kuchukua mzigo wa mahindi.
Utamnunulia mirinda mwenyeewe
 
Nunua Massey Ferguson,natumia 165 mwaka wa 27,ila kiboko yake 390 bhana achana na hiyo mashine trekta zingine takataka
 
Mkubwa mleta uzi usipende vitu vya bei rahisi au vya kichina. Chukua MF 165 au MF 290, hivi vyuma ni shida. Ingia gharama mara m
 
mkuu unajua chuna , mwingereza ndo mtamu wa MF na inaweza piga kazi 24hrs bila shida kwa muda mrefu ila huyo mchina utamtumia ila ukimpigisha 24hrs hatochukua muda mrefu utaona oil inaanza kuvuja

Ni kweli
 
kama MF bei yake ni $2500
Basi ningezituma zamani hata kumi
Uhalisia upo kwa kwenye autotrader uk
 
tunakatishana tamaa kizembe trector si izi za bei pow [emoji28][emoji28]
 
ahaa inawezekana mkuu ila kwa MF 135 old model maana hatamie niliwahi ona internatinal imejichokea na old model million 5
 
ahaa inawezekana mkuu ila kwa MF 135 old model maana hatamie niliwahi ona internatinal imejichokea na old model million 5

ndio mzee unachukua hio unajipiga piga nalo ukipata ela kidog unaongeza anaagiza jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…