Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu unajua chuna , mwingereza ndo mtamu wa MF na inaweza piga kazi 24hrs bila shida kwa muda mrefu ila huyo mchina utamtumia ila ukimpigisha 24hrs hatochukua muda mrefu utaona oil inaanza kuvujaKwa uzoefu wangu, wa miaka miwili na John Deer na kilimo kwa ujumla.
Ni hivi, wakulima hununua trekta kwa mkopo yaani mfano kama gharama halisi ni mil 40 mkulima analipa 10 au 15 hivi then trekta inafanya kazi na kujilipa yenyewe.
lakin pia unaweza ukapata trekta John Deer used hata kwa mill 10 tu hadi 8.
muhimu uwe na fundi mzoefu akukagulie
John Deer 2130 ndiyo nzuri achana na hizi mpya.
pia New Holland na Swaraji na Maasay za Mwingereza.
pita mbali na Farm Truck, John Deer New model za india. Achana kabisa na Maasay ya pakistan au matrekta ya mchina.
ila ukipata ford au Fiat ziko poa.
Ila John Deer 2130 old model, Fiat na New holand ni kiboko yao.
So si lazima kununua mpya na si lazima kununua kash kama bomba dia
unaweza kupata toka UK pia kunawabongo husafirisha nakuja kuuza hukunimekupata ndugu sas hizo john deere used nawaza kuzipata wapiii hapa hapa bongo??
yan inakua imetumia uk au wap mkuu
mkuu inatagemea brand na model za trekta ila 50mil unapata MF nzuri kubwa jembe na trela laketractor mpya pamoja na trailer lake, disc plough na hallow yake(complete) ni being gani
Ukisafirisha unavojua itakua gharama zaidiinakua hivyo ata nikifata mwenyew na kusafilisha navyo jua??
Valmet nzovwe Mbeya kuna mangi mmoja alikua analitembeza km ferarri vile.Hii thread imenifanya nikakumbuka trekta aina ya KUBOTA. Miaka 50 na bado inapiga kazi
used toka hapo south unapata kwa hela hiyo ila haina jembe pia ni toleo la zamani utapata50mil mbn palefu mkuu me nilitegemea kweny about 20 mil.....!!
mkuu unajua chuna , mwingereza ndo mtamu wa MF na inaweza piga kazi 24hrs bila shida kwa muda mrefu ila huyo mchina utamtumia ila ukimpigisha 24hrs hatochukua muda mrefu utaona oil inaanza kuvuja
mkuu unajua mahala ambako kuna hizi trecka zimetelekezwa yani zipo zipo tuu na wenyewe hawana dalili ya kuzifufua?Ni kweli
hapana mie nataka langu lakufufua taratibu taratibu maana jipya siwezi nunuawe ni fundi nn mkuu!!?
kama MF bei yake ni $2500habar wadau , habari za sikunyingii
hatimae JF yetu imerudiii [emoji28][emoji28][emoji28]
twende kwenye mada wakuu.
binafsi nimekua nina interest kubwa ya kumiliki trector walau 2 tu while nikifanya mishe mishe zangu town naamini ntafika ninapo pata kwa haraka zaid sas shida ni kuusu hizi trector za kichina hivi zina tatizo gan mana ni cheap sana.. unakuta trector ina uzwa us dolla 3500 na trector ni mpya yaan 0 kilometer 4wd hp 85 hapo hapo ukija upande wa pili huku kwa kina john deere trector 4wd hp 85 bei yake hugusii yan ni pesa ndefu ambayo kwa usawa huu wa magu kijana kama mimi kupata hio pesa inakua ni mazoeziii
ombii kwa wataalam tofaut hasa ni ipiii
kwan hizi trector za kichina haina uwezo kwa kulima walau eka 15 per day??
mana izo massey zipo naziona mtandaon had dollar 3500 sas shida ni kweli zinauzwa bei hio mana USA ni mbali na actually siamini hizi mitandaoView attachment 800264View attachment 800265View attachment 800266
izi massey ni bei yke kwel au fixx binafs nilifikilia nikanunue tu trector za kichina mana ni cheap sanaaa
naomben ushauli kabla cjapotea wadau...
Hiyo bei inatosha kununulia jembe la kawaida ila jembe zuri wala hata haiwezi nunua, itakuwa kachanganya mambo tuukama MF bei yake ni $2500
Basi ningezituma zamani hata kumi
Uhalisia upo kwa kwenye autotrader uk