The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo...
Hebu tujadili kuhusu;
IKO HIVI;
Waki Commission (Tume ya Waki) iliundwa kwa tangazo la Gazette Notice ya Rais Mwai Kibaki,
Terms of reference (ToR) zake zilitangazwa katika Kenya Gazette Notice No. 4473 ya 22 Mei 2008
Tume hiyo ilikuwa na jukumu la:
1. Kutafuta na kuchunguza chanzo na mazingira yote ya ghasia zilizofuata uchaguzi mkuu wa 2007.
2. Kuchunguza vifo, ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa mali uliotokea wakati wa ghasia.
3.Kuchunguza mwenendo wa vyombo vya usalama, ikiwa ni tuhuma za matumizi ya nguvu kupita kiasi.
4.Kubaini watu waliobeba jukumu kubwa katika kupanga, kuchochea au kutekeleza vurugu.
5.Kutoa mapendekezo ya namna ya kuzuia vurugu kama hizo zisijirudie katika chaguzi zijazo tena.
6.Kupendekeza namna ya kuwawajibisha wahusika wa makosa makubwa yaliyofanyika katika vurugu.
Vipi kuhusu Tume ya Samia ya juzi na ile ya kwanza chini ya Jaji Mstaafu Othman Chande, ikishirikisha Majaji wawili wa nje ya Tanzania kutoka Namibia na Uganda...?
♦️Terms of Reference (ToR) zake zimetangazwa gazeti la Serikali au zinatoka tu kwa mtu aliyeunda tume na kuteua wajumbe?
♦️Kwanini hii tume yenu haitaki kabisa kuweka ToR ya kuchunguza mwenendo wa vyombo vya usalama?
♦️Au, ni kwa sababu matumizi ya nguvu yalikuwa kidogo tu?
♦️Hakuna namna wala jinsi ya kukwepa kuchunguza na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wote waliopanga, kutekeleza na kuamuru wanajeshi kutumia silaha za moto kuua raia hovyo barabarani, nyumbani na maeneo ya mapumziko na starehe kama bara, vibanda vya kuangalizia mpira, vijiwe vya kahawa nk
♦️Go East or West or South or North lakini wahusika wa mauaji ya 29/10 na siku zilizofuata ni lazima wawajibike kisheria na kisiasa!
♦️Tukirudi kwa Tume ya Kenya chini ya Jaji Philip WAKI, ni kuwa iliundwa katika mazingira ya National Accord ya mwaka 2008,
♦️The 2008 Kenya National Accord iliafikiwa baada ya mgogoro wa uchaguzi kati ya Mwai Kibaki na Raila Odinga...
♦️Lakini kitu cha muhimu zaidi katika mchakato huo ni kuwa usuluhishi huo ulifanyika chini ya msuluhishi neutral toka nje yaani Kofi Annan.
♦️Ripoti yake, iliyojulikana kama Waki Report, ilipendekeza mambo mengi sana hadi kufikia muafaka
♦️Baadaye serikali ya Kenya iliposhindwa kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Waki, then suala hilo ilibidi ICC kuhusishwa..
♦️Ripoti ya Waki ilionesha na kuwasilisha kwa uwazi bila chenga;
✓ Majina ya wahusika wote wa vurugu na
✓ Nyaraka nyingine zote muhimu kusupport findings zao kwa Koffi Annan
♦️Baada ya Serikali ya Kenya kushindwa kuanzisha mfumo wa ndani wa kuwawajibisha wahusika, Koffi Annan aliwasilisha nyaraka za tume kwa Mwendesha Mashtaka wa ICC, Luis Moreno Ocampo,
♦️Mahakama ya ICC iliidhinisha rasmi uchunguzi kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya.
♦️Kenyatta, William Ruto, Francis Muthaura, Henry Kosgey, Joshua Sang na Hussein Ali, wakashtakiwa
♦️Uhuru Kenyatta alikuwa upande wa PNU/Kibaki, wakati Ruto alikuwa mshirika muhimu wa ODM/Raila Odinga.
♦️Hata hivyo, ICC iliwahusisha wote wawili na wenzake katika makundi tofauti ya madai kuhusu ghasia hizo.
♦️Henry Kiprono Kosgey alikuwa Waziri wa Viwanda (Minister for Industrialization) Serikali ya Kenya.
♦️Mohammed Hussein Ali alikuwa Commissioner of Police (Mkuu wa Jeshi la Polisi Kenya) 2004 - 2009.
♦️Francis Kirimi Muthaura alikuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma na Katibu wa Baraza la Mawaziri - Kenya.
Hapa Tanzania kukoje?
♦️Ni kuwa, kabla hata ya usuluhishi, mnatengeneza tume na kuweka ToR za kushughulikia msiowapenda.
♦️Kwanini hamtaki kuweka ToR za kuwachunguza waliotoa amri na kutekeleza amri za mauaji ya raia?
Source: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila X-TWITTER page
Hebu tujadili kuhusu;
Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya)
VS
Presidential Commission of inquiry for Violence during and after Election 29/10/2025 (Tanzania) chini ya Jaji Mstaafu Othman Chande na hii ya juzi chini ya Jaji Mstaafu Lilla