Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
 

Attachments

  • FB_IMG_1721030156250.jpg
    FB_IMG_1721030156250.jpg
    41.5 KB · Views: 18
Wewe kimeo tofautisha kipaji na taaluma ..
 
Lamine Yamal alisema akifika fainal ya euro anaacha shule....Ina maan kuna wenzake huko huko ulaya wana umr kam wak bado wapo shule
Tatizo sio ulaya au bongo ila kila mtu ana njia yak ya mafanikio
 
Back
Top Bottom