THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,462 Reaction score 7,157 Jul 15, 2024 #1 Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana Attachments FB_IMG_1721030156250.jpg 41.5 KB · Views: 18
Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 15, 2024 #2 THE BEEKEEPER said: Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana Click to expand... usipeleke mtoto kama mdogo kuna mawili anaweza kukosa bikra zote ajakubwa na ndogo
THE BEEKEEPER said: Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana Click to expand... usipeleke mtoto kama mdogo kuna mawili anaweza kukosa bikra zote ajakubwa na ndogo
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 6,581 Reaction score 11,572 Jul 15, 2024 #3 Wewe kimeo tofautisha kipaji na taaluma ..
C Code 255 JF-Expert Member Joined Jul 6, 2024 Posts 904 Reaction score 3,570 Jul 15, 2024 #4 Lamine Yamal alisema akifika fainal ya euro anaacha shule....Ina maan kuna wenzake huko huko ulaya wana umr kam wak bado wapo shule Tatizo sio ulaya au bongo ila kila mtu ana njia yak ya mafanikio
Lamine Yamal alisema akifika fainal ya euro anaacha shule....Ina maan kuna wenzake huko huko ulaya wana umr kam wak bado wapo shule Tatizo sio ulaya au bongo ila kila mtu ana njia yak ya mafanikio