Tofauti ya wachaga na wapare

Wanawake wa Old Moshi mpooo pokeeni salam zangu mimi shemeji yenu nawapa hongera sana kwa kuwa makauzu kuliko wamachame
 
Nawajua Wachagga na wapare ..nimesoma na nao...
Wachagga hawana sana serious hofu ya Mungu..hasa inapokuja issue ya maslahi...
Utaona wana unyenyekevu ila wakiona kuna maslahi....

Si watu sana wa haki....
 
wapare na wachaga ni watani.
... tatizo umechagua kauli ambayo badala ya kulenga faida za utani, imelenga hasara zaidi. Sio kila kauli inafaa kwa utani. Kauli yako inalenga kusababisha ugomvi na kuvunjiana heshima katika jamii. Hilo sio lengo la utani.
 

Same ingebaki Tanga, Mpare angebaki na ukaribu na msambaa wa Tanga,
Same kuwa Kilimanjaro, haikutokea kwa bahati mbaya, ilipangwa hivyo.
 
Umeshindwa kujua unapofanya uchambuzi wa jamii yeyote ni mambo gani unatakiwa kuyaelezea katika dondoo zako. Kwanza ungeanza na utangulizi unaoelezea hayo makabila mawili yalianzia wapi hadi yakafikia hapo. Kwa upande huo unapata alama sifuri.

Pili dondoo yako ijikite kwenye maisha ya kiuchumi, kijamii, kiimani, nk. Hapo kwenye uchumi elezea wanajishighulisha na nini kuwepo na kuishi, miundo mbinu huduma za kijamii nk. Yaani umejieleza kama mtoto wa darasa la pili kwemda la tatu anaanza kutumia kalamu ya wino kutoka kitumia penseli.

By the way sis ni watani ila hapo umetuangusha maana tunaaminika mkoa wa Kilimanjaro karibia wote tumesoma kumbe kuna haya makanjanja bado yanaturudisha nyuma kama huyu mtoa mada.
 
Kwa ujumla mpare hafai kwalolote...unawapamba bure, ni mabahili kupitiliza.
 
... tatizo umechagua kauli ambayo badala ya kulenga faida za utani, imelenga hasara zaidi. Sio kila kauli inafaa kwa utani. Kauli yako inalenga kusababisha ugomvi na kuvunjiana heshima katika jamii. Hilo sio lengo la utani.
Labda kama haujui utani wa hawa watu, au labda haujawahi kusikia maneno tunayoambianaga..
Mbona hapo sijaongea kitu mkuu
 
Upareni kuna misitu sio vimsitu

Ukifika Chome, Vudee, Ngwang'a , Marieni na vijiji vya karibu huko kuna misitu ya Chome ni msitu mkubwa sanaa.
 
Wanawake wa Old Moshi mpooo pokeeni salam zangu mimi shemeji yenu nawapa hongera sana kwa kuwa makauzu kuliko wamachame
Wanawake wa old Moshi ni hatari kuliko wanawake wa jamii nyingine za kichaga, wanawake wa old Moshi hapana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ