Tofauti ya wachaga na wapare

Tofauti ya wachaga na wapare

Upareni kuna misitu sio vimsitu

Ukifika Chome, Vudee, Ngwang'a , Marieni na vijiji vya karibu huko kuna misitu ya Chome ni msitu mkubwa sanaa.
Pare ya kusini ndo Kun misitu, Ila pare ya kaskazin Kuna vimisitu ambavyo vingi vina madhabahu za kutolea sadaka
 
Back
Top Bottom